Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*RISK TAKERS TKTS*
*PLAY SINGLE OR PER TKT*

*TKT -1*
UNIV CRAIOVA HT X
(3+)
BRONDBY HT X (3+)

*TKT -2*
PARTIZAN WIN (2.03)
ESPANYOLA (1.89)
LEGIA W WIN (2..05)

*TKT -3*
AUSTRIA WIN (2.23)
RJECKA WIN (1.90)

*TKT -4*
ELBER GG (1.90)
CSKA SOPHIA WIN (2.00)

*OTHERS*
SPARTA P WIN (2.23)
MIDTYLAND FT X (3.00)
GENT FT WIN (2.45)
AZ ALKAMAAR WIN )1.80

*ALL D BEST*
3+ BOOOOOOOM
HT X
UNIV CRAIOVA
 
Vitimu vingine ni ujinga tu.
Screenshot_20190808-200803.jpeg
 
Hawa betpawa wameanza kukata kodi na wao
Betpawa wame badili mfumo wa bonasi maana mwanzo ilikua ukiweka team 5 una pewa 10% team 10 50% na team 20 100%
Kwa sasa naona kuna mabadiliko nilitandaza mkeka team 7 odds 12 bonas waka sema ni 20% withholding tax 20%
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
Mimi Odds 134 na nilitia 5000 nilimpiga 670k
Mara nyingine nilipata odds 86 na zenyewe nikambonda
 
Kwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.


Duuh maelekezo ni marefu kidogo, ila nitajitahidi ...

Jinsi ya kununua bitcoins.

1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins

2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"

3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.

4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.

5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.

6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.

7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)

Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.



Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...

1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.

2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin

3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address

4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"

5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.

6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.

7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).

8. Click Continue.

9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.



NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.
Wakuu naomba mwenye uelewa jinsi ya kutengeneza account ya kununua bitcoin. Nahitaji kutumia njia ya bitcoin kudeposit 1xbet
 
Back
Top Bottom