Meridian wana nini leo mbn hela hazifiki kwenye Wallet yako niki deposit
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utakuwa wakati mwafaka ukinikopssha 7000 nipate mtajiAisee...!!!View attachment 1013770
Ukiona hotel imeandikwa Kuna casino we Zama ukajionee watu wanavyoliwa mamimilion na mtu anavyobet 10m ili apate faida ya 30m Yan fastaaa hyoooHivi sehemu gani hapa Dar naweza kuwapata wabetiji wenye mitaji mikubwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh watu wanacheza na pesa aiseeUkiona hotel imeandikwa Kuna casino we Zama ukajionee watu wanavyoliwa mamimilion na mtu anavyobet 10m ili apate faida ya 30m Yan fastaaa hyooo
At least kuanzia capital ya million 18 na kuendelea.Kama bei gani mkuu funguka
Kwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.
Duuh maelekezo ni marefu kidogo, ila nitajitahidi ...
Jinsi ya kununua bitcoins.
1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins
2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"
3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.
4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.
5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.
6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.
7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)
Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.
Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...
1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.
2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin
3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address
4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"
5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.
6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.
7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).
8. Click Continue.
9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.
NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.
Na vip utaratibu wa kuwithdraw??Kwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.

Wanauza kuanzia sh ngap mkuu??
Mkuu hongera kwa elimu nzuriKwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.

Na vip utaratibu wa kuwithdraw??
Punguza game ziwe tano konk unaweza toboaWadau kila siku namkosakosa tangu mwaka umeanza nafuliwa tuView attachment 1013963
Sent using Jamii Forums mobile app