Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kujaribu si vibaya wakuu
Screenshot_20190205-143317.jpeg
 
Hii ya over 1,2 na 3
Ina utofauti wowote na 0.5, 1.5 na 3.5??

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ni kuwa hizo over ambazo zina namba kamili unakuwa kwenye safe position zaidi ya hizo zenye point. Kwamfano match ya liver ya Jana kama Mimi niliweka over 2 INA maana nimerudishiwa stake yangu kwasababu magoli yameishia mawili lakini wewe uliyeweka over 2.5 ni kwamba umepoteza stake yako.
 
Asante sana kwa "darasa" zuri Mkuu
Hii industry kila siku twajifunza mapya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawithdraw kwa njia ya Bitcoins (minimum ni 24,000TZS kwa 1xbet). Ukiwa unawithdraw 1xbet watakupa bitcoins then unaenda kuziuza kutumia account yako ili upate M-pesa au Tigo-pesa.
Mkuu umeshawahi Fanikiwa Kutoa? Yani kuuza ulipata mteja chap? Au ndo unatakiwa usubiri mpaka upate client?
 
Back
Top Bottom