Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomben mjuz wa hyo zaga ya bitcoins coz maelezo nilishayasomag sana ila nmesahahu sana ilaa nikipat mjuz plz tuchat watsap kama hatojal kispot tyuu fasta fasta
 
1. Stake 10,000 unapewa 20,000.
2. Hiyo 20,000 unapaswa kutandaza mkeka wa kuanzia game 5 @si chini ya 1.8 odds (hapo ndio kimbembe)
Saiv odd ya 1.8 hawakubali odd ianze na 1.9 na kuendelea bila hvyo hauto place bet na ili uplace bet we anzia odd ya 1.95. Itakuja automatically
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahv pesa ya kubet haina uchungu unatoa tu
[emoji23][emoji23][emoji23] dah weacha tuu yaani kule kuna options rahisi sana tena kama unamtaji kuanzia elfu 50' huwezi lala njaa.
hapa ngoja tusubiri hiyo kesho tuone kama ni kweli watarudisha ama vipi.


NB. wakirudisha msikurupuke kudeposite mpunga mrefu msije mkatulilia huku jukwaani!!!
 
Majbu yao asbuh hii nijue kabisa kama yalimo yamo au namna gani Vipi..??
IMG_20190808_073211.jpeg
 
Kwa experience yangu binafsi, huwa napata pesa. Hizi za hapa na pale, 30k 40k 50k 60k mpaka 70k huwa nazipata sana tu ila si milioni ya kusema nitajirike, lah! Kuliwa kupo maana kwenye betting hakuna option safe ya kusema usiliwe na ule daily, NO.

Mimi nilichokigundua ni kwamba, odds 1.8 & 2 huwa zinanipotezea tu wakati, why? Ni hivi, nilikuwa natafuta hizo odds kisha naweka stake kubwa ila nilichokuja kupambanua ni kwamba aidha narudisha tu pesa niliyobetia ama napoteza kabisa. Naweka mikeka miwili ya odds mbilimbili, nakula mmoja mwingine naliwa, yani naenda mbele na kurudi nyuma hapohapo au inaliwa yote ama nikila zote kesho zikarudi.

Nikaja kuona kwamba nahitaji odds 3 kwenda mbele ili kutengeneza mazingira ya kupata pesa hata kama napoteza mikeka mingi kuliko ninayokula. Yani nipate njia ambayo katika mikeka mitano, nikila miwili naona PESA. Ndo nikaja na haka ka njia kangu ka "Meli hiyooooo!"

Ambapo najitahidi kutafuta odds 3 kwa mechi kumi kwa kutumia options za 0.5 (mechi nane au saba) kisha namalizia na 1.5 (mechi mbili au nyingi sana tatu tu). Kwakuwa natumia BETPAWA basi napata bonus hapo, odds 3 zinakuwa nne, tano ama 6 (inategemea).

Kila mkeka nakuwa uniform kwa kuweka alfu kumi tu (sitaki risk pesa kubwa maana matches ni nyingi). So kwa mtindo huo najikuta kwamba katika mikeka minne (stake 40,000) nikishinda mmoja tu sina hasara kabisa. Nikishinda miwili ni MAPESA.

Na silazimishi mechi. Ni kheri nikaweka mkeka ukadumu wiki nzima kuliko kufosi mechi siku moja. Yani natanguliza kujiridhisha kwanza kuliko haraka.

Nashukuru nasonga.
Ushauri huu nimeuelewa mkuu
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
 
Saiv odd ya 1.8 hawakubali odd ianze na 1.9 na kuendelea bila hvyo hauto place bet na ili uplace bet we anzia odd ya 1.95. Itakuja automatically
Nimefungua account parimatch nilishabet mara kadhaa ikiwemo stake ya 10,000 ila sijaiona hiyo bonus au nayo mpaka utume kitambulisho ndo wakupe
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
Odd 6.92 na niliweka 75000 nikala 519000!

Sijarudia tena kupandsha odd ziwe juu hivyo mana kama siyo penalti ilitokea, ningetaga na ni hela ya bumu la mtu niliazima nikabet bila kumjulisha!!
 
Nimerudi kwenye game msimu ukianza narudi kwenye bettting,salama lakini wakuu ni muda sasa sijaingia kwenye ili jukwaa
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
Odd 146 stake 1000
Odd 40+ stake 2500
Odd 37+ stake 1000
Odd 26 stake 2500


Zaidi ya hapo huwa natafuta odd 2 hadi 6+

Stake 5000 hadi 50000
 
Back
Top Bottom