Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BOMU, Usisahau Singles Inplay
Screenshot_20190807-193546~2.jpeg
 
Mh,nilikua na wazo kama lako ila si yupo humu kwa jukwaa atakua anasoma coment ila naamini atarudi ndani ya nyumba kwa kua option zake ni maridadi sana
Hua namuona kwenye majukwaa mengine aki-comment na ku-"like" comments za wengn! Humu kapasusa kweli
 
Yani kama vile hakuna mechi vile kulivyo kimya. Watu badala ya kufunga wanakata viuno tu.
 
wanarudisha kama bonus

Kuirudisha kama bonus Tuhesabie kama hawakati tukija kwenye kulinganisha wanaokata na wasiokata kodi! Mfano ukisema Mkeka bet wana kata kodi halafu ukasema Parimatch pia wanakata kodi sasa hapo kwa asiyejua hizo kampuni anahitimisha kwamba akiweka odds 2 akastake buku inarudi 1800 hatofikiria kama itakuja kama bonus au haitokuja kwahyo mwisho wa siku Parimatch ndo King of betting companies
 
Aweke mifumo yote ya pesa kwa kila mtandao na aache kuwapa watu masharti mia moja wakiwa wanataka kutoa pesa. Mbona wakiweka hamna usumbufu. Kutoa anaanza kuulizia mavitambulisho na picha!
 
Back
Top Bottom