stake ndogo.....stake kubwa holaView attachment 1174671
jaman link ya 1xbet ni ipi mbona kwenye desktop inasumbua
Je, siwez kujisajili na PARIMATCH bila kuwa na promo code?
hahaha yaani we hujui moja ya ligi inayoongoza kwa magoli ni malaysiaKazi kweli kweli
Makampuni yamekua mengi.. halafu TRA wanawatolea Sana macho! Wanajua kuna pesa mingi iko pande hii...Kipindi kile ilikua murua sana..hela unapata kama ilivyo kwenye slip...sasa hiv dharau nying!
Balaa aiseehahaha yaani we hujui moja ya ligi inayoongoza kwa magoli ni malaysia
Nafanyaje maana nikiacha kujaza "promo code" nazuiwa kuendelea mbele.Unaweza
Boss kuwa makini huko, 22bet sio credible platform.Kama ishu ni kodi mbona 22bet wanaendelea Kenya wakiwa na mfumo ule ule wa kutokatwa kodi? Hawa na 1xbet ni ndugu.
wanarudisha kama bonusNani kasema Parimatch wanakata Kodi ? Aangalie hii screenshot imepigwa dakika moja iliyopita View attachment 1174740