Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Duuuh! Parimatch wana mambo ya ajabu sana. Mkuu wakazie, usikubali kudhurumiwa...wapigie sana tu...chati nao Whatsapp pia.Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
Ikishindikana, wapigie Bodi ya michezo ya kubahatisha ( namba zao wamezitoa,au unaweza zicheki kweny website yao) au wafatr ofisini Bodi ya michezo.