Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ya kuongezea pia kuhusu PARIMATCH ni kuwa wana TURBO PAY OUT ambayo kwanza kabisa utofauti wake na Turbo zingne ni kwamba Parimatch ukiturbo kiwango flani cha pesa bado unaendelea kuu sikilizia mkeka wako kwa mechi ziliobaki kiasi kwamba kama zote zikitiki, basi unalipwa tena mkwanja mwingine ambao ni almost sawa na kiasi ambacho ungeshinda awali.
Hawa jamaa mi siwakubali jana nmeshind Milion moja kupitia bonus yao natoa hela kimya et mpaka wahakiki kama nina account mbili au moja.
 
Kama huna account nyingine usiwe na hofu mkuu mimi wkt nafungua kwa mara ya kwanza nilifungua account 2 ili nifaidi zile bonasi zao dah nikasahau password ya account ile ya pili kuwapigia wakaniambia inaonesha una account mbili na ni kinyume na sheria zetu kimsingi tuna hold authority kukufungia account zako ila kwa kukusaidia tu inabidi tukufungie moja wapo ile ya awali basi nikasema poa kwa kuwa kwnz haikuwa na salio nikaona hmn noma.... sasa baada ya hapo ndo wakaniambia nitume hizo picha za National ID ili kuthibitisha kuwa ni mimi kweli mwenye ile account... nikawatumia.
Wakanipa bonasi 20k nikawakosa kosa kwa mechi moja kuchana mkeka wa 800k, sijui km ningewapiga wangenipa kweli huo mkwanja [emoji23] maana walishatanguliza vitisho vya kunifungia so wangeweza kupata sababu ya kufunga kabisa

Ila kwa wewe mkuu utapewa huo mkwanja wako bila shaka, wakizingua unawapekeka kwenye mamlaka husika.
 
Tatzo wanavisheria sheria vya kipuuz kwel, mi sina account mbili wala nn ngoja tuone ka milion yang watanipa.
 
Yaani kutoa hela mpaka uwe na ID?
Kama huna account nyingine usiwe na hofu mkuu mimi wkt nafungua kwa mara ya kwanza nilifungua account 2 ili nifaidi zile bonasi zao dah nikasahau password ya account ile ya pili kuwapigia wakaniambia inaonesha una account mbili na ni kinyume na sheria zetu kimsingi tuna hold authority kukufungia account zako ila kwa kukusaidia tu inabidi tukufungie moja wapo ile ya awali basi nikasema poa kwa kuwa kwnz haikuwa na salio nikaona hmn noma.... sasa baada ya hapo ndo wakaniambia nitume hizo picha za National ID ili kuthibitisha kuwa ni mimi kweli mwenye ile account... nikawatumia.
Wakanipa bonasi 20k nikawakosa kosa kwa mechi moja kuchana mkeka wa 800k, sijui km ningewapiga wangenipa kweli huo mkwanja [emoji23] maana walishatanguliza vitisho vya kunifungia so wangeweza kupata sababu ya kufunga kabisa

Ila kwa wewe mkuu utapewa huo mkwanja wako bila shaka, wakizingua unawapekeka kwenye mamlaka husika.
 
Betpawa ******* sana yaani aina ya michezo michache mno pia wanachagua michezo ya kuweka, mbwa koko wale wakiona kuna game ina nafasi kubwa ya kushinda hawaweki. Hivi wale mbwa wana fikiria wote tunabeti football? Michezo kama Handball, Volleyball, Baseball Australian Rules, Ice Hockey n.k hakuna kabisa mbwa wale wanakera sana.

Parimatch wazuri ila kuwala inahitajika nguvu ya ziada.
Acheni kufananisha PARIMATCH na site zingine za ajabu ajabu...hakuna site bomba kwa sasa kama parimatch...kwanza mkwanja faster, makato 0%, mechi zakutosha, huduma masaa 24 kwa wenye matatizo, halafu wapo official wanaaccount hadi IG...

Wakati naanza kubeti nilianza na mbet, nikaja kuwakimbia kwa sababu ya kuwa na mechi chache na option chache na michezo michache, nikawatumia meridian lakini nilikuja kuwakimbia maana site yao inasumbua sana, Mkeka bet niliwatumia Ila na wao wenyewe nilikuja kuwakimbia kwa sababu ya makato, site inamuonekano mbaya, halafu wanachagua mechi za kuweka, nikaamia Premier betting mwanzoni walikuwa wananikosha maana walikuwa wanamichezo mingi, option za kutosha lakini pia makato hamna kabisa, nikaja kuwahama baada ya kubadilisha muonekano wa site yao lakini pia wakawa wanazingua hasa upande wa basketball walikuwa wanaminya option nyingi, na siku hizi na wenyewe wameanza kutoza kodi, nikawakimbia na wenyewe, 1x bet niliwatumia nikawapiga pesa Ila waligoma kunilipa baada ya kunizungusha saana nikatemana nao, playmaster site yao na wenyewe nilikuwa nawatumia kipindi Fulani Ila ili kuwa mpaka kwenye laptop, kwenye simu ilikuwa inazingua nikajakuachana nao...
Biko wakaja na site yao Ila sikuipenda na walikuwa na makato pia nikatemana nao, soka bet nao nikatemana nao hawakunikosha....Baadaye nikaja kumgundua BETPAWA Ila nilikuja kugundua kuwa kuna mechi haweki lakini pia odds zake zilikuwa ndogo ukicompare na site zingine , ingawa anajitahidi kulipa faster na sasa ameanza kukata 20% withholding tax so naanza kumkimbia mdogomdogo ila huwa ananifurahisha tu kwenye bonus zake ukitandika mechi za kutosha...

ILA MNYAMA NILIYEBAKI NAYE STABLE NI PARIMATCH SIFA ZAKE
1) SITE YAKE KWANZA IPO HIGH QUALITY
2) MICHEZO KAMA YOTEE VILE YA KUBETIA
3) MALIPO CHAP CHAP HATA SAA NANE USIKU
4) HAKUNA MAGUMASHI KABISA KWENYE HUDUMA PALE UNAPOPATA TATIZO, YAANI UKIPIGA TATIZO LAKO LINATATULIWA FASTER
5) HAKUNA MAKATO KABISAAAA
6) WANAOPTION ZA KUTOSHA NA WANAWEKA MECHI ZA KUTOSHA....

KAMA UPO KWENYE SITES ZA MAKATO HAMA FASTER NJOO PARIMATCH
 
Morning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
 
Ningepata ata source ya hii habari ningeenda kukopa mahali mtaji nijikoki kwa epl but sijui wewe ndugu yangu umeinyaka wapi hii hot newz
 
Morning All,Tuna Leo Na Kesho Ili Tuanze Kufurahia Options za Kibabe za 1xbet. Kuweni wapole Wacheza kamari!!!! Hao sijui Betpawa,Mkekabet,Meridianbet,Parimatch wataomba Poo mwaka huu maana wamefanya mbinu zote ili Isifanikiwe Lakn wameshindwa. 1xbet Itabaki kuwa Juuu daima....Naanza na options za kibabe kwa Liverpool Ijumaa!
Mkuu unaujasiri unavozungumzia ujio wa 1xbet...lazima utakuwa ukaribu na wahusika hapa bongo.
 
Id National alafu sina ninakadi ya kupigia kura tu[emoji23][emoji23], nahc hela ndio imeenda kiivyo.
Hiyo kadi ya mpiga kura haina ishu kabisa. Kuna kipindi nilipiga parefu kampuni ya MELBET ndugu take na 1xbet, hela ikawa haifiki bank, baada ya ya kuwasiliana nao wakasema niwatajie national ID number, mi nikawatajia cha kura, wakawa hawaoni taarifa zangu kabisa kupitia hiyo ID. Ikabidi ntafute cha NIDA ndio kesi ikaisha.
 
Basi mi naachana nao maana nina acc ya tigo na mpesa.
Ngoja nitoe kihela changu maana wanaweza katalia hela
Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mi mwenyewe wakinipa changu napotea
 
Angefunga kampuni lake [emoji23][emoji23][emoji23], hyo ilikuwa ni freebet alafu nimetoa hela huko M yang kimya mpaka sasa et mpaka waichunguze account yangu waangalie kama nna account mbili manina hawa [emoji849][emoji849] sijui hela yang nitapewa?
Vipi mpaka sasa hawajashusha mzigo wapumbavu hawa kwan account mbili kitu gani wakat account iliyoshinda ni moja
 
Mi sina account mbili mkuu lakini kimya milion yangu [emoji23][emoji23] hiyo inaenda.
 
Hiyo kadi ya mpiga kura haina ishu kabisa. Kuna kipindi nilipiga parefu kampuni ya MELBET ndugu take na 1xbet, hela ikawa haifiki bank, baada ya ya kuwasiliana nao wakasema niwatajie national ID number, mi nikawatajia cha kura, wakawa hawaoni taarifa zangu kabisa kupitia hiyo ID. Ikabidi ntafute cha NIDA ndio kesi ikaisha.
Mbona mnanitisha? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom