Deje
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 991
- 1,006
Makampuni karibu yote yana kodi ila mengine yanakurudishia kodi kama bonus kwahiyo haikuathiri wewe mtumiaji, kama parimatch, premier,gsb na betpawa walikuwa wanarudisha ila kuanzia leo wamiamua wakuachie ulipe mwenyeweWazee na parimatch wameweka kodi