Betpawa haina makato kabs mkuuAcheni kufananisha PARIMATCH na site zingine za ajabu ajabu...hakuna site bomba kwa sasa kama parimatch...kwanza mkwanja faster, makato 0%, mechi zakutosha, huduma masaa 24 kwa wenye matatizo, halafu wapo official wanaaccount hadi IG...
Wakati naanza kubeti nilianza na mbet, nikaja kuwakimbia kwa sababu ya kuwa na mechi chache na option chache na michezo michache, nikawatumia meridian lakini nilikuja kuwakimbia maana site yao inasumbua sana, Mkeka bet niliwatumia Ila na wao wenyewe nilikuja kuwakimbia kwa sababu ya makato, site inamuonekano mbaya, halafu wanachagua mechi za kuweka, nikaamia Premier betting mwanzoni walikuwa wananikosha maana walikuwa wanamichezo mingi, option za kutosha lakini pia makato hamna kabisa, nikaja kuwahama baada ya kubadilisha muonekano wa site yao lakini pia wakawa wanazingua hasa upande wa basketball walikuwa wanaminya option nyingi, na siku hizi na wenyewe wameanza kutoza kodi, nikawakimbia na wenyewe, 1x bet niliwatumia nikawapiga pesa Ila waligoma kunilipa baada ya kunizungusha saana nikatemana nao, playmaster site yao na wenyewe nilikuwa nawatumia kipindi Fulani Ila ili kuwa mpaka kwenye laptop, kwenye simu ilikuwa inazingua nikajakuachana nao...
Biko wakaja na site yao Ila sikuipenda na walikuwa na makato pia nikatemana nao, soka bet nao nikatemana nao hawakunikosha....Baadaye nikaja kumgundua BETPAWA Ila nilikuja kugundua kuwa kuna mechi haweki lakini pia odds zake zilikuwa ndogo ukicompare na site zingine , ingawa anajitahidi kulipa faster na sasa ameanza kukata 20% withholding tax so naanza kumkimbia mdogomdogo ila huwa ananifurahisha tu kwenye bonus zake ukitandika mechi za kutosha...
ILA MNYAMA NILIYEBAKI NAYE STABLE NI PARIMATCH SIFA ZAKE
1) SITE YAKE KWANZA IPO HIGH QUALITY
2) MICHEZO KAMA YOTEE VILE YA KUBETIA
3) MALIPO CHAP CHAP HATA SAA NANE USIKU
4) HAKUNA MAGUMASHI KABISA KWENYE HUDUMA PALE UNAPOPATA TATIZO, YAANI UKIPIGA TATIZO LAKO LINATATULIWA FASTER
5) HAKUNA MAKATO KABISAAAA
6) WANAOPTION ZA KUTOSHA NA WANAWEKA MECHI ZA KUTOSHA....
KAMA UPO KWENYE SITES ZA MAKATO HAMA FASTER NJOO PARIMATCH
Wameanza kukata mkuu.. Lipeni kodi tupande fasta treni ya umeme!!Betpawa haina makato kabs mkuu
Hamna kitu hapo ni upepo
Huwa wana renew accMm nishasahau mpaka na password kama kweli sijui itakuaje
[emoji23][emoji23][emoji23]Mzee kiufupi 1xbet ni matapeli, ukiwapiga hela hua hawatoi hata utumie njia gani!
Hata mmM
Me mwenyewe sasahivi ndio naona nawahama sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] ww bang hzUzuri wanaweka na ICE HOCKEY ila tatizo lao kwenye mkeka wamwshindwa kuweka hata rangi kwe game kama ukishinda waweke green na ukilose waweke red, asikwambie mtu yale marangirangi yana raha yake [emoji23][emoji23]
Betpawa haina makato kabs mkuu
EeeehhhdooohMakato yameanza leo
Princess bet wako safi.Playmaster na princess wako poa zaidi
Mkuu umenunua kadi kama kadi au umefungua akaunti kabisa? Mimi natumia KBC VISQ CARD ila tatizo ukiwithdraw hela inafika baada ya siku 14 za kazi.1xbet Tutaonana Wabaya kitu hicho Cha Exim Ni prepaid card View attachment 1173238
Acheni kufananisha PARIMATCH na site zingine za ajabu ajabu...hakuna site bomba kwa sasa kama parimatch...kwanza mkwanja faster, makato 0%, mechi zakutosha, huduma masaa 24 kwa wenye matatizo, halafu wapo official wanaaccount hadi IG...