MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 988
- 1,523
Odd1,8 au 2 hazimaanishi kuwa unashinda. Mpaka sasa nadaiwa na mpawa na sijui ntalipaje.Mkuu mtego mkubwa wa betting ni jinsi ya kupambanua odd, stake, lost na won
Tunajua sote hapa kwa habari ya number of bet basi bookie siku zote atashinda
Yaani ukichukua jumla ya bet zote ulizocheza ni lazima lost zitakua nyingi kuliko won
Isuue ni je ufanyeje ili win chache utakazo pata ziweze kuziba hasara na kuleta faida ya lose utakazopata?
Mkuu strategy yako naielewa sana ya odd 3+
Kati ya bet 10 unahitaji won kuanzia 3 tu kufuta hasara na kuanza kuhesabu faida
Ingawa pia naelewa ugumu wa kupata odd 3 sio mchezo pia, hapa sasa ndio ulipo mtihani
Kingine kinacho angusha wengi ni kutokua na kiwango cha stake ili kupangilia bet zako against odd
Saiz game ya romania imetabiliwa kuisha 1-3 mi nimeweka over ya 0.5 game imeisha 0-0.
Jana kama nilivyosema molde nimemuwekea 1.5 hadi dk 78 ni 0-0 kukawa na uwezo wa kuturbo nikaturbo kwa hasara baadae dk ya 85 goli na 88 goli. Nimekosa pesa ndefu kwa kuhofia.
Betting kama uchawi hasa meridian nikiturbo ticket itawin nikisita nkaacha nalost.