Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Kitambo sana mkuuKwema humu!!Naona msimu umerudi
Kitambo sana mkuuKwema humu!!Naona msimu umerudi
Misim ikiisha mnapotea [emoji1787][emoji1787]Kwema humu!!Naona msimu umerudi
HIGH STAKES OF THE DAY!!
DAY1[emoji736][emoji736][emoji736]3ODDS
DAY2[emoji736][emoji736][emoji736]3ODDS
DAY3[emoji736][emoji736][emoji736]3ODDS
DAY4[emoji735][emoji735][emoji735]4ODDS
Day5
Barcelona-1x(international)
Sheriff Tiraspol-1(Moldova)
Cska Sofia-1(Bulgaria)
Spain-1(basketball)
Salzburg-1(Austria)
Shakhter Donetsk-1(Austria)
Czech Republic-2(basketball)
Shoot in Dragons-2(basketball)
Osijek-dnb(Croatia)
Odds:3.32
#78285384
#FIFA19
Ilibooom faida m tatu elfu 90Kwani mkuu ni biashara gani hapa mjini ya sh 5.000.000 inayo weza kukuingizia milioni moja laki mbili kwa siku
Daaa ndo nataka nifyatue hapa mechi ya kwanza saa 12 jioniMkuu saa 10 ndio hii mkuu
Stake m 4,000,000
Odds 1.30
Possible won
5,200,000
BORA ANGESAKA ODDS 2.5 APATE 10MView attachment 1172081View attachment 1172082
Betting ni uchawi kabisa..ukiwa unabeti unahisi kuna kitu kinakusukuma kufanya maamuzi ambayo wew hukuyategemae kabisa... Na huo msukumo Mara nyingi ndo huwa lost
Ukicheza n'a bettin utakuwa maskini mancity kachoma mkeka wangu wa direct win elfu kumi imesepa
Asee ... duhHizi hapa odds 9+ ukitaka kuedit ruksaView attachment 1173107
arat Armenia under 1.5Kagua mzigo huo, ukiupenda tia stake... wazee wa feri, Meli hiyoooooo!!!
.
.
I can win 113K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-4e1c3cd6c View attachment 1172535
Nmechelewa dah💯*
*Kolheti Vs Shukura*
GG Over 2.5
*2.20 odds*
Booking *BC31ZYWR*
jamaa upo vzr sana nakukubali*TIPS OF THE DAY*
PLAY PER TKT OR SINGLE
*TKT -1*
OREBRO GG (2.00)
DERRY CITY OV 2.5(1.90)
*TKT -2*
STRONGEST FT X
*3.00 ODDS*
*TKT -3*
LYNGBY GG (1.90)
CAEN HT X (2.00)
*TKT-4*
KONGSVINGER WIN(2.00)
NUMBERG OV 2.5(1.90)
*TKT -5* (MAXB)
HUDDERSFIELD GG
ASCOLI HT 1X
ASTAVA GG
*TKT -6*
BRANN WIN (2.00)
MURROM WIN (2.05)
Hahaha...Meli hiiiiyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kwa experience yangu binafsi, huwa napata pesa. Hizi za hapa na pale, 30k 40k 50k 60k mpaka 70k huwa nazipata sana tu ila si milioni ya kusema nitajirike, lah! Kuliwa kupo maana kwenye betting hakuna option safe ya kusema usiliwe na ule daily, NO.
Mimi nilichokigundua ni kwamba, odds 1.8 & 2 huwa zinanipotezea tu wakati, why? Ni hivi, nilikuwa natafuta hizo odds kisha naweka stake kubwa ila nilichokuja kupambanua ni kwamba aidha narudisha tu pesa niliyobetia ama napoteza kabisa. Naweka mikeka miwili ya odds mbilimbili, nakula mmoja mwingine naliwa, yani naenda mbele na kurudi nyuma hapohapo au inaliwa yote ama nikila zote kesho zikarudi.
Nikaja kuona kwamba nahitaji odds 3 kwenda mbele ili kutengeneza mazingira ya kupata pesa hata kama napoteza mikeka mingi kuliko ninayokula. Yani nipate njia ambayo katika mikeka mitano, nikila miwili naona PESA. Ndo nikaja na haka ka njia kangu ka "Meli hiyooooo!"
Ambapo najitahidi kutafuta odds 3 kwa mechi kumi kwa kutumia options za 0.5 (mechi nane au saba) kisha namalizia na 1.5 (mechi mbili au nyingi sana tatu tu). Kwakuwa natumia BETPAWA basi napata bonus hapo, odds 3 zinakuwa nne, tano ama 6 (inategemea).
Kila mkeka nakuwa uniform kwa kuweka alfu kumi tu (sitaki risk pesa kubwa maana matches ni nyingi). So kwa mtindo huo najikuta kwamba katika mikeka minne (stake 40,000) nikishinda mmoja tu sina hasara kabisa. Nikishinda miwili ni MAPESA.
Na silazimishi mechi. Ni kheri nikaweka mkeka ukadumu wiki nzima kuliko kufosi mechi siku moja. Yani natanguliza kujiridhisha kwanza kuliko haraka.
Nashukuru nasonga.
Betpawa hii unaichezaje mdauHizi hapa odds 9+ ukitaka kuedit ruksaView attachment 1173107
Hao hawana ootions nyingi may be ulaze normal tuuBetpawa hii unaichezaje mdau
Hongera sana mzee...una uthubutu sio mchezo.2.8m View attachment 1172653Booom my salary of 4/8/2019