Kabla ya yote tahadhari lazma ichukuliwe. Usije bet kwa pesa ya ada, mtaji wa biashara, au pesa uliotumwa ikirudi ni bahat sana coz unakuwa na presha ya selection of option. Kuna njia kazaa znaweza kukupa maslahi kiasi ktk bet.
1. Usirudi option ktk mikeka mingine kama wa bet mikeka mingi
2. Chagua option ukiwa unaifahamu na sio kwa kufata ushauri
3. Unapokusanya odds atleast ziwe mara mili na nusu ya dau uliloweka.yaan kama buku iwe inatoa. 2500.
4. Bet ukiwa umetulia sio unaharaka ya kwenda sehemu.
5. Fahamu vzr kama mechi unayobet ni friend match or compition.
6. Fatilia timu kwa karbu kidogo kujua kama azina changamoto zozote, financily ,injuries etc.
7.mechi inayofuata baada ya mechi wanayo cheza inaumuhimu gani...e.g jumosi ligi j4 uefa.
8. Kama unabet online jitaidi ujiunge na company zisizo na tax kama 1xbet, na betpawa kama kuna nyingine tujuzane.....hii itakusaidia kupata idadi ya odds kwa tm chache....kwa mwenye nyiongeza namkarbisha....kwa anaetaka magroup ya kutabir bets na kushare mikeka andika namber nikuunge aunnifate inbox