makei sn hao dkk 27 wamemic penartMidtjylland kashinda dakika ya 88 dah odd zilifika 8+
Naamin beting unaweza kuwin ukiwa na mtaji afu uachane na direct winWakuu,za siku nna kaneno kdogo naomba nishee..
Well.mi nabet sanaa.niko kitambo hum toka enz za kina deepond etc..
Ila kiukwel naona ukisema et betting inaweza kupa financial freedom naona kama ni kujidanganya...sjui labda wapo
Ila kiukwel njia zote mtu unazingatia,yaan i mean zote,wazee wa kubet wazoef wanaelewa ukisema
1.ucheze magol tuu tena utafte only 1.3 or even 1.5 odds.kwa hata tim mbil ipo mda utadakwa tuu
2.haya useme kona,hvyo hvyo
3.useme double chance,yaan sometime hata kwa single bet tena sometime ya hata odd 1.06 inalambwa
4.useme una discipline kwamba usiendekeze tamaa.ipo muda tuu unashangaa umebet for no reason
Yaan kiukwel.labda sjui labda michezo mingne ila football is soo disapointing
Unakula leo 100000 unaliwa kesho lak150 yaan the cycle continues..hata uwe expert vp i tell u,hata hum uwe unastake hata mil1 kwa single bet tena inplay ya 1.2 odds lakin ipo siku unadakwa tuu
Mi nilifkia hata kupata 300k 150k il kesho yake unaliwa,ukija piga hesab kwa wik or mwez unaona loss kwako mhind kakupiga
Ndomana hata ukimya hum umetaradad skuhi coz pipo thiink kwamba,sasa nafanya nn,hata iweje end of the day mhind anakula,utakula leo kesho ila ipo siku unaliwa
Na kujicontrol ni ngum sanaaaa wakuu askwambie mtu,et uzingatie sjui nn,dah
Perhaps wapo watu ambao wanafaidika na hii kitu kiukwel kwel sio kuridhishana tuu hapa ili mtu aonekane wakat deep inside ana loss za kufa mtu.so tuambiane ukwel wadau
Je NI KWEL KUNA WATU WANATENGENEZA PESA KIUHAKIKA THRU BETTING?
Naomba tuambiane ukwel ili tujue na kupata hope or tustaaf mazima hiz mambo
Nilikufuata nami nimekulaHahaha, wazee wa feriiiii, narudia tena wazee wa feriiiii ... Meli hiyooooo!!View attachment 1172214View attachment 1172215
Sichezag direct win hata sku1.mi ni magol tuu,0.5over or 1.5over..na uchambuz uliotukuka,na mtaj mi na chezaga elf10-50 kwa single bet.huwa nakula sana tuu lakin pia naliwa sana,so mwisho nkifanya analysis naona loss kwangu ndo mara nying..Naamin beting unaweza kuwin ukiwa na mtaji afu uachane na direct win
Haijawahi kutokea kwa Tanzania matches ni nyingi mno Kenya ilishatokea yaani hiyo 794,297,720/= kwa matches 13 imekuwa ngumu. Wengine akina M-BET jamaa wanazipiga kila uchao matches 12.Hivi huu mzigo wa sportpesa wa 700m hamna aliyefanikiwa kuulamba??
Kiukweli kabisa kinachonigharimu ni kukosa displin kwenye betting, naamua kabisa kuweka timu mbili au tatu but najikuta nishaweka hadi 8, kwa option mi napenda direct win na ndio mana naluz sana najaribu sana kujicontrol ila najikuta tu nishawekaWakuu,za siku nna kaneno kdogo naomba nishee..
Well.mi nabet sanaa.niko kitambo hum toka enz za kina deepond etc..
Ila kiukwel naona ukisema et betting inaweza kupa financial freedom naona kama ni kujidanganya...sjui labda wapo
Ila kiukwel njia zote mtu unazingatia,yaan i mean zote,wazee wa kubet wazoef wanaelewa ukisema
1.ucheze magol tuu tena utafte only 1.3 or even 1.5 odds.kwa hata tim mbil ipo mda utadakwa tuu
2.haya useme kona,hvyo hvyo
3.useme double chance,yaan sometime hata kwa single bet tena sometime ya hata odd 1.06 inalambwa
4.useme una discipline kwamba usiendekeze tamaa.ipo muda tuu unashangaa umebet for no reason
Yaan kiukwel.labda sjui labda michezo mingne ila football is soo disapointing
Unakula leo 100000 unaliwa kesho lak150 yaan the cycle continues..hata uwe expert vp i tell u,hata hum uwe unastake hata mil1 kwa single bet tena inplay ya 1.2 odds lakin ipo siku unadakwa tuu
Mi nilifkia hata kupata 300k 150k il kesho yake unaliwa,ukija piga hesab kwa wik or mwez unaona loss kwako mhind kakupiga
Ndomana hata ukimya hum umetaradad skuhi coz pipo thiink kwamba,sasa nafanya nn,hata iweje end of the day mhind anakula,utakula leo kesho ila ipo siku unaliwa
Na kujicontrol ni ngum sanaaaa wakuu askwambie mtu,et uzingatie sjui nn,dah
Perhaps wapo watu ambao wanafaidika na hii kitu kiukwel kwel sio kuridhishana tuu hapa ili mtu aonekane wakat deep inside ana loss za kufa mtu.so tuambiane ukwel wadau
Je NI KWEL KUNA WATU WANATENGENEZA PESA KIUHAKIKA THRU BETTING?
Naomba tuambiane ukwel ili tujue na kupata hope or tustaaf mazima hiz mambo
Nimepigwa kama zote hadi najuta kucheza jackpotwazee leo jackpot ya betpawa vipi
Huo mchuzi nuksi kaka,haulambiki!!Hivi huu mzigo wa sportpesa wa 700m hamna aliyefanikiwa kuulamba??
Tumia playmasterNaanza leo kubet niambie ni kampuni gani nianze nayo kujiunga.
🏆🏆🏆
Z5D5LPDY
AZ Alkmaar - Fortuna Sittard
1 1.26
Santos FC - Goias EC
1 1.28
Barcelona - Arsenal
2-5 Goals 1.33
ODD:2.15
Stake: ₦ 50,000.00
©🥇🥇🥇
ANGALIAAAAAAAA SALIOOOOOO●►●►●►V.I.P GROUP ●►●►●► ═══════════════════════════════════
► Date : 04 / 08 / 2019
► Time: 21:00«PM»
► League : Holland🇳🇱 :eredivisie
► Match : AZ Alkmaar - Fortuna Sittard
► Tip : [ 1 & 2.5 ] ○ over
► Odd : 2.00
► Safe %100
═══════════════════════════════════
●►●►●►V.I.P GROUP ●►●►●►
Kubeti ni uchawi kabisa..mm mpaka sasa nimeshamaliza option zote still hakuna kitu nikahamia kwenye basketball na kwenyewe ni vipigo tu..nikasema labda nijaribu Volleyball lakin wapi ni Yale Yale tu....In fact hakuna kazi ngumu Kama betting...ukiona mtu anashangilia amewino mkeka ujue huko kwenye bet history kuna lost za kufa mtu😁😁Wakuu,za siku nna kaneno kdogo naomba nishee..
Well.mi nabet sanaa.niko kitambo hum toka enz za kina deepond etc..
Ila kiukwel naona ukisema et betting inaweza kupa financial freedom naona kama ni kujidanganya...sjui labda wapo
Ila kiukwel njia zote mtu unazingatia,yaan i mean zote,wazee wa kubet wazoef wanaelewa ukisema
1.ucheze magol tuu tena utafte only 1.3 or even 1.5 odds.kwa hata tim mbil ipo mda utadakwa tuu
2.haya useme kona,hvyo hvyo
3.useme double chance,yaan sometime hata kwa single bet tena sometime ya hata odd 1.06 inalambwa
4.useme una discipline kwamba usiendekeze tamaa.ipo muda tuu unashangaa umebet for no reason
Yaan kiukwel.labda sjui labda michezo mingne ila football is soo disapointing
Unakula leo 100000 unaliwa kesho lak150 yaan the cycle continues..hata uwe expert vp i tell u,hata hum uwe unastake hata mil1 kwa single bet tena inplay ya 1.2 odds lakin ipo siku unadakwa tuu
Mi nilifkia hata kupata 300k 150k il kesho yake unaliwa,ukija piga hesab kwa wik or mwez unaona loss kwako mhind kakupiga
Ndomana hata ukimya hum umetaradad skuhi coz pipo thiink kwamba,sasa nafanya nn,hata iweje end of the day mhind anakula,utakula leo kesho ila ipo siku unaliwa
Na kujicontrol ni ngum sanaaaa wakuu askwambie mtu,et uzingatie sjui nn,dah
Perhaps wapo watu ambao wanafaidika na hii kitu kiukwel kwel sio kuridhishana tuu hapa ili mtu aonekane wakat deep inside ana loss za kufa mtu.so tuambiane ukwel wadau
Je NI KWEL KUNA WATU WANATENGENEZA PESA KIUHAKIKA THRU BETTING?
Naomba tuambiane ukwel ili tujue na kupata hope or tustaaf mazima hiz mambo
Betting ni uchawi kabisa..ukiwa unabeti unahisi kuna kitu kinakusukuma kufanya maamuzi ambayo wew hukuyategemae kabisa... Na huo msukumo Mara nyingi ndo huwa lostKiukweli kabisa kinachonigharimu ni kukosa displin kwenye betting, naamua kabisa kuweka timu mbili au tatu but najikuta nishaweka hadi 8, kwa option mi napenda direct win na ndio mana naluz sana najaribu sana kujicontrol ila najikuta tu nishaweka