Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa sasa ni BETPAWA https://www.betpawa.co.tz wapo vizuri (kuna unafuu mkubwa) wana options nyingi na bonus wanatoa hawa wajinga wa PREMIERBET premierbet.co.tz walikuwa wazuri siku hizi huduma zao mbovu watu wamewahama kabisa
Afu primier bet skuizi ukilipia ticket haionekani? And wakati wakulipia usipokua makini hela yote inatumika kununua ticket za aina hiyo mpaka hela iishe kwa wanaotumia app ya primier au ni mimi peke yangu?
 
Mkuu na kushauri hama Mimi mweye nilikuwa huko wakaniblock bahati nzuri ha kukuwa na salio.sasa no betpawa na parimatch
 
Mkuu na kushauri hama Mimi mweye nilikuwa huko wakaniblock bahati nzuri ha kukuwa na salio.sasa no betpawa na parimatch
Tuhamie wapi sasa mkuu maana mimi ni mfuasi wa corner booking na option nyingine
 
Mnaotumia 1xbet vip Safaricom inafanya kazi? "Yaan kuweka na kutoa?
 
Hivi hapa mnavoshauriana mnakulaga hela kweli???
 
Hahaha, wazee wa feriiiii, narudia tena wazee wa feriiiii ... Meli hiyooooo!!
Screenshot_20190804-182056.jpg
Screenshot_20190804-182108.jpg
 
Leo nimejaribu correct score DUKANI PLAY MASTER
man city v Liverpool (1-0) odds 9.5
Kenya v Tanzania OVER 2.5 ODSS 2.35
South Africa v Lesotho HT/FT 1/1 ODDS 1.59
JUMLA ODDS 37.76
Kama una chenji iliyobaki waweza kuvaa hili Bomu.
Hayo matokeo ya correct score yskitoka kama yalivyo mnitag, sins mb.
 
Leo nimejaribu correct score DUKANI PLAY MASTER
man city v Liverpool (1-0) odds 9.5
Kenya v Tanzania OVER 2.5 ODSS 2.35
South Africa v Lesotho HT/FT 1/1 ODDS 1.59
JUMLA ODDS 37.76
Kama una chenji iliyobaki waweza kuvaa hili Bomu.
Pole mkuu.
 
Back
Top Bottom