Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzinga Wa pili huo
Screenshot_20190806-113407~2.jpeg
 
*Bet9ja Booking Z5CW989M*

*TIME 👉 10:30 AM*

LEAGUE 👉 *RUSSIA*
1147 PFL, East
FC Chita - Sakhalin Sakhalinsk
*2 2.27


*Odd 2.27

GG& OV 2.5 (2.00)

ALL D BEST



🤞
 
Msimu uliopita nimezalisha milioni 3, msimu huu nimepanga kila mechi anayocheza Man city, liverpool, Barca na Juve dhidi ya timu ndogo ndogo nawapa Double chance naweka Milion moja, nina uhakika wa kuvuna zaidi ya milioni 10 mpaka msimu uishe.
Kuna siku nitaliwa ila nitakula zaidi ya kuliwa
The house always win kwenye situation kama hii
Piga mahesabu vizuri ya odd, stake, profit per bet na jumla ya game unazotegemea zitawin
 
Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
Mm nishasahau mpaka na password kama kweli sijui itakuaje
 
Ahaaaaaaah hapo niliweka juzi mzigo wa 100,cha ajabu katika mechi 17 nilipiga mechi 8 yaani kidogo nilie kama mtu aliyeweka 100,000 ahaaaaaaah bet nihurumieni huu umekuwa ugonjwa kwangu.
Wazee wenye maujanja na jackpot ya betpawa watuwekee hapa

Mzigo wa shilingi 100 unakutoa milionea
 
Ahaaaaaaah hapo niliweka juzi mzigo wa 100,cha ajabu katika mechi 17 nilipiga mechi 8 yaani kidogo nilie kama mtu aliyeweka 100,000 ahaaaaaaah bet nihurumieni huu umekuwa ugonjwa kwangu.
Jitahidi tumia KAMPUNI za CASHOUT ukihisi halisioo unaondoa mzigooomapema anza a songa
 
CS
D.ZAGREB 2-0.2-1
HT.FT.X/1

SUTJESKA 2-0/1-0
HT.FT
X/1

*PLAY SINGLE.MAXB*
 
Mkuu umenena kweli , kubet ni maradhi makubwa sana me tangu nimeanza kubeti nikiangalia hasara inalailia kwangu , kuacha nashindwa , siku ukila faida kidogo kesho yake unanyang'anywa na mtaji wako. Kiukweli kubeti ni ugonjwa mpya tumeletewa na bila kuchukuwa hatua tutazeeka vibaya .
Jitathmini. Kama hupati pesa, acha.
 
Back
Top Bottom