Lukanka
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 518
- 538
Wadau hii hand cap inamaanisha nini mfano home time anaongoza
Then hand cap ikawa hivi
(1)0:3. X(0:3). (2)0:3
Hapo inamaanisha nn na vipi ukiwek kwenye droo
Hapo inamaanisha, (1)0:3, ashinde wa nyumabn wakati huo ushamtanguliza wa ugenini na goli 3 au labda tayari yupo n goli 3, x(0:3) hapa mechi iwe draw na tayari wa away umempa goli 3 au anazo ivo wa nyumabn anatakiwa kupata goli 3 bila wa away kupata goli ndo inakuwa draw, na mwisho (2)0:3 wa ugenini umemtanguliza na goli 3 ivo kama mechi itaisha kwa draw yoyote basi wa away atakuwa bingwa au wa home atashinda kwa goli tofauti na mbili bado wa ugenini atakuwa mshindi.