Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka nirudi 1xbet maana hizi kampuni zetu shida tupu.

Naomba kuuliza hivi kwa mfano nikanunua bitcoin za Tsh 7000 localbitcoin nakudeposit 1xbet, ukitoa makato localbitcoin watakayo kata, je 1xbet itasoma shngapi?
Pia katika kupitia nimeona minimum withdrawals ya 1xbet kupitia BTC ni kubwa kidogo, naomba kujua kama kunanamna nyngne ya kuwithdraw kiwango chini ya kile kilichowekwa ukitumia bitcoin.

Kama sikosei kuna mtu huku alishawahi kupendekeza bitcoincash, ningependa kujua kama na yenyewe kuexchange ni virahisi kama ilivyo Bitcoin yenyewe
Itafika buku 5
Huwezi kudeposit kwa njia nyingine zaidi ya uliofanyia deposit na kiwango ndio hicho hakina mjadala

Kama unataka bitcoins cash basi deposit kwa bitcoin cash
Kuna mdau amesema inafaa
 
Hivi wakuu meridian ndo huwezi kutoa pesa au tatizo nini?
Tangu juzi napambana kutoa pesa nashindwa
Mimi pia najaribu toka asubui haitoki nimechat nao wananiambia natakiwa kuclear data sijui cache kwa cm yangu kwenye app yao naona ananivuruga tu
 
Kanji wiki ijayo nikimkosa hapo nampga hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190801-123707.jpeg
Screenshot_20190731-225308.jpeg
 
wakuu vip ukiwa unatumia skrill kwa 1x bet kudeposit na kuwithdraw makato yapoje kutoka katika my mastercard/visa msaada kwa wanaotumia au ambao wana uelewa nayoo[emoji120]
 
Back
Top Bottom