Odd zimepaa 2+Wa kujilipua TuView attachment 1169456
Mkuu unachokiongea kama kikitokea tunamzika kanji jumla.EUROPA over 1.5 mechi zote chagua mwenyewe
kuna mkeka umeweka hivyo niniMkuu unachokiongea kama kikitokea tunamzika kanji jumla.
anajiona kashafuzu hana haja ya kupoteza nguvu nyingiKuna mtu anakielewa anachokifanya Zorya?? ... mpinzani wake ameshapigwa red card 2 ... about 20mins ago anashindwa kuongeza goli la pili.
Duuh balaaa ... 2+ inaelekea kumshinda.anajiona kashafuzu hana haja ya kupoteza nguvu nyingi
Ndio hvyo ndugu yangu mi mwenyewe nauombea balaaHapo umetumia akili mkuu. Matokeo yoyote kwako ni faida tu. Ila maombi ni kwenye huo mkeka wa 1M.
Turbo hamna maana hyo 30000 niya offer [emoji23][emoji23][emoji23] hvyo hawaweki turbo. Offer yake itamliza tu.Ingekua mimi ningeshachungulia turbo inasemaje
Jablonec anatutafuta manenoTukutane baadaye kugawana mafao.
99.9% .View attachment 1169053
Huyu ms***ge Zorya amenigalagaza vby mnoo kisa goli moja tu. Daaah, bloody betting.
Daah uyo msenge anataka kuchambia kaziJablonec anatutafuta maneno
Hodi tena wakuu. Baada ya kuwa kimya kipindi chote hiki cha likizo, kesho kazi inaanza tena.Tuendeleeni kupeana tips kwa kuwa sote adui yetu ni mmoja tu: Kanji.
Alamsiki.