Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unazidi kuonyesha ukilaza wako, mtu aliyekamilika vizuri kiakili hawezi tukana matusi Kama haya ila kwakuwa ww Ni kilaza umetukana na hii umekuja kuthibitisha tuu kuwa ww Ni kilaza... Nmemaliza sitokujibu tena ww kilaza
Bwege wewe
 
Kama upo Instagram unaweza kunifollow kwa free tips daily odds 2-5, search @free_odds_point utanipata
Let's put our money here in this basketball game..wish u gudluck for those who will follow
IMG_20190802_092143_843.jpeg
 
Wenye biashara nyie endeleeni tu kuuza ila sidhani kama humu kuna wateja Jk12
Mkuuu sijawahi uza odds hata siku moja,maaana najua kuwa THIS IZ FUTIBOLI.simba anaweza mtandika barcelona 3 kavu...ila niko vizuri kwenye kuzichungulia.....
 
Wenye biashara nyie endeleeni tu kuuza ila sidhani kama humu kuna wateja Jk12
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] huwa siuzi tips am doing my best to make other get profited through my work sema ninavyokuwa nawaambia wanifuate IG coz kule ndo nipo active sana huku napitiaga tu Mara chache sana. SEMA SIO KUWA TIPS ZOTE NI 100% SURE NO MY FRIENDS HAKUNAGA SURE TIPS ASIJE AKAKUDANGANYA MTU...HUWA INATOKEA TU MTU NA BAHATI YAKE MFANO WALE WANAOUZA CORRECT SCORE UNAKUTA GAME MBILI ODDS KUANZIA 100 NA KUENDELEA WALE NI WEZI TU NDO MAANA UKIWAAMBIA PAY AFTER WIN WANAGOMA COZ ITS JUST A PREDICTION ILA TU KWA AKILI ZETU FINYU UKIONYESHWA MIKEKA ILIYOWIN BASI UNAKUTA TAMAA INAKUINGIA LAKINI WENGI WAO MIKEKA ILE HUWA WANAIFANYIA EDITING...HUU ULIMWENGU WA SASA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA....
 
Noma sana!
Siamini ameamua hela apewe mhindi sio sisi tunaolia kila siku hapa.

It's obvious wamefanya maksudi kbs. Timu ina pungufu ya wachezaji wawili unashindwaje kufunga goli moja wkt walipata goli wakiwa 11 vs 11 ?!!!!
 
Back
Top Bottom