Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Aweke mifumo yote ya pesa kwa kila mtandao na aache kuwapa watu masharti mia moja wakiwa wanataka kutoa pesa. Mbona wakiweka hamna usumbufu. Kutoa anaanza kuulizia mavitambulisho na picha!
Hiyo huwa inatokea mara 1 tuu ukiwapa hvyo vitambulisho unateleza tuu halafu sio jambo gumu maana unawatumia whasapp simple kabisa