Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

300 odd kwa 500,na 260 kwa buku
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
Nimeshapiga sana kule mkekabet za laki 5 kwa elfu 5
 
Nimefungua account parimatch nilishabet mara kadhaa ikiwemo stake ya 10,000 ila sijaiona hiyo bonus au nayo mpaka utume kitambulisho ndo wakupe
Bet slip ya kwanza kabisa iwe 10,000. Wanakupa automatically
 
TODAY AND TOMORROW GAMES!


Flensburg-2⚽️(Germany)2:2
Hungary-1🏀✅✅
France-2🤾🏾‍♂️✅✅
Gorak,Daniel-2🏓✅✅
Djursland-2⚽️(Denmark)✅✅
Villarreal-2⚽️(friendly)✅✅
Flensburg-2🤾🏾‍♂️✅✅
Sydvest 05-2⚽️(Denmark)✅✅
Celtic-2x⚽️(uefa)✅✅
Madrid-2x⚽️(international)✅✅
Brazil-2way🏀✅✅
Spain-2🤾🏾‍♂️
Astana-1⚽️(uefa)
Cska Sofia-1x⚽️(uefa)
Malmo-1⚽️(uefa)
Ludogorets-1⚽️(uefa)
Maccabi Tel Aviv-1⚽️(uefa)
Torino-1⚽️(uefa)
Afterelding-2(⚽️Iceland)
FH Hafnarfjordur- 2x⚽️(Iceland)

Odds:35.00
Soccabet code

Dandianangaa
 
1.50 ODDS ROLLOVER

Day1✅✅✅
Day2✅✅✅
Day3✅✅✅
Day4✅✅✅
Day5❎❎❎
Day6✅✅✅
Day7✅✅✅
Day8✅✅✅
Day9❎❎❎
Day10

Spain-dnb (🤾🏾‍♂️)
Karakasevic,Alexander-1(🏓)


Odds:1.60
#FIFA19
 
Swali la kizushi

Hivi wadau katika kumbukumbu zako toka uanze kubèt umewahi kuweka odd gani za juu kabisa na zika won?


Mi nisha bahatisha odd 76, stake buku [emoji28]
800+ stake 1,000
Nakumbuka ilikuwa weekend nikaweka 3+ (a.k.a over 2.5) timu 15. Kipindi hiko nabet meridianbet tu, na walikuwa na app/site ile ya zamani (kabla hawaja upgrade)
 
Safaricom mambo ni moto.kwa kenya....stay tuned kwa Mpesa Tz...Nilisema mkae mtulie mkaanza ooh we wakala nini??!!!!hahahaha
IMG-20190808-WA0035.jpeg
 
Back
Top Bottom