kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
No sio kweli mkuu mi sijawahi kuulizwa kitambulisho hata siku moja na kutoa ni instant yaani Chap.
Chombo kipo pazuri bado Ajax na Willem tunamaliza mchezo. 100%View attachment 1177908
kashasepa tayarPorto anataka kusepa na kijiji......
Ni vizuri kwanza fedha zako zinakua secured na ukisha wapa kitambulisho hawakuulizi tena mimi niliwapa bima ya afya tu saivii natoa bila wasiwasi na pesa inaingia kwa wakatiMzee hao jamaa kutoa pesa hadi vtambulisho
Sio kampuni ya betting,ni application inayowakutanisha wakamaria mbalimbali na kuweka bashiri zao..inaitwa Betswall..icheki play store.Hii kampuni gan mkuu
Kwa urahisi ni baada ya kufungua account nenda kwenye security jaza ile form na uapload kitambulisho chako basi unakuwa umemaliza, yaan hiyo fanya hata kabla hujatupia mkeka wa kwanza au hata kabla hujadeposit kamilisha kabisa. Tatizo wengi wanakuwa hawajakamilisha usajili sasa ukitaka kutoa pesa mara ya kwanza ndio wanaanza kukudai hizo dataNilitoa 20 tu ikagoma
Mkuu hizi ulicheza inplay?
Mkuu hizi ulicheza inplay?
Mkuu tupia na leo tukufuateYes inplay
Sure!1xbet ya Russia na Parimatch ya Ukraine wapo vizuri sana
Kushinda ni lazima labda kama hutaki kushinda
Hahahaha nifundishe nataka ni bet.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba maelekezo kuhusu hii mkuu??...1xbet ya Russia na Parimatch ya Ukraine wapo vizuri sana
Kushinda ni lazima labda kama hutaki kushinda
vp mkuu wamerahisisha nja za kutoa na kuweka ela au bado ni kizungumkuti1xbet ya Russia na Parimatch ya Ukraine wapo vizuri sana
Kushinda ni lazima labda kama hutaki kushinda