The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Kweli mkuu..tumeona jua! Kuamka kuona siku nyingine si ujanja bali Neema tu!wakuu kumekuchaaa
Kweli mkuu..tumeona jua! Kuamka kuona siku nyingine si ujanja bali Neema tu!wakuu kumekuchaaa
Hahahaha nifundishe nataka ni bet.
Mkuu tangu juzi naona unasumbuka sana!!Mnaotumia botcoin n ipi hapo mnaitumia mana nashindwa kuelewa n ipiiiView attachment 1178135
Mzee mwenzangu Parimatch ya Ukraine wapo njema sana ila kudeposit ndo issue...Tupe ujanja1xbet ya Russia na Parimatch ya Ukraine wapo vizuri sana
Kushinda ni lazima labda kama hutaki kushinda
Majembe yangu ya leo ... bahati mbaya yote yako ugenini, ngoja tuone kwa 20K
AFC Eskilstuna v AIK
2 - 1.63
AC Horsens v FC Midtjylland
2 - 1.85
St Mirren FC v Aberdeen FC
2 - 1.84
FC Aktobe v FC Astana
2 - 1.5
Total Odds 8.32
Nilitoa 20 tu ikagoma
Hiyo ni M-Pesa Kenya, lazima Uwe na line ya Safaricom.1xbet naona wamerudisha mpesa lakini ipo chinichini
NB: sijajaribu kudepositView attachment 1177516
1xbet haipatikani kwenye computa yangu msaada au kuna shida?Mzee mwenzangu Parimatch ya Ukraine wapo njema sana ila kudeposit ndo issue...Tupe ujanja
Arsenal au Chelsea mmojawapo au wrote wanaweza kusepa na mtaji.wolves,arsenal,chelsea all win or draw 3.2 odds
Mkuu nimeupenda mno uchambuzi wako huu makini.
Direct win [emoji95]Majembe yangu ya leo ... bahati mbaya yote yako ugenini, ngoja tuone kwa 20K
AFC Eskilstuna v AIK
2 - 1.63
AC Horsens v FC Midtjylland
2 - 1.85
St Mirren FC v Aberdeen FC
2 - 1.84
FC Aktobe v FC Astana
2 - 1.5
Total Odds 8.32