Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mwenye namba za customer care Premier Bet tafadhari,au pia kama umewahi ku_withdraw ukaambiwa blocked user ulifanyaje ukaipata pesa yako uliyoshinda kwenye akaunti? Natanguliza shukrani za dhati...

Mkuu hao hamaa wanazingua, hapo mpaka jumatatu ama jumanne nahisi server zao haziko poa, click contact then ki icon cha whatsapp kwenye website yao utawapata
 
Mimi niliweka pesa toka juzi mpaka leo haijaingia ingawa salio linaonesha pesa imekatwa. Nimewasiliana nao wameahidi kushughulikia mpaka hivi sasa pesa haijarudishwa. Hawa PREMIERBET wana huduma mbovu sana
Hata mimi upande wa sportpesa tokea juzi hiyohiyo nineweka hela ila mpaka sasa hawajaniwekea, na nimeshindwa kubet since hiyo siku.
 
Wakuu nahitaji maelezo kidogo juu ya hawa 1xbet
Naweza vipi kudeposit na kutoa
 
Ubarikiwe Mkuu,hizi kampuni maandazi zifungiwe tu,usawa mgumu,tunaliwa na hizi kampuni kila siku,ikitokea one day umewala hawataki kulipa mzigo,wanasingizia terms and conditions,inaboa sana...
 
SUNDAY

TKT-1

FFAYENOORD OV2.5(1.50)
FORTUNA SITTARD OV 2.5(1.50)

TKT -2

ZWOLLE OV 2.5(1.50)
FC NORSDJ OV2.5(1.40)

TKT -3
V.PLZEN WIN(1.50)
E.FRANKFURT OV 2.5(1.50)

TKT -4
fEYENOORD GG(1.50)
hacken win or DRW(1.45)

ALL D BEST
 
Pesa hiyo
Screenshot_20190811-140326~2.jpeg
 
SUNDAY

TKT-1

FFAYENOORD OV2.5(1.50)
FORTUNA SITTARD OV 2.5(1.50)

TKT -2

ZWOLLE OV 2.5(1.50)
FC NORSDJ OV2.5(1.40)

TKT -3
V.PLZEN WIN(1.50)
E.FRANKFURT OV 2.5(1.50)

TKT -4
fEYENOORD GG(1.50)
hacken win or DRW(1.45)

ALL D BEST
99.9%
 
Je Parimatch ya Ukraine wanaruhusu kima iipi cha chini kuweka kutoa kupitia VISA?, inachukua muda gani?
 
Du hawa premier kumbe ni mikwundwu kiasi hiki? Na pia wamewaajiri majitu maboya ambayo hayawezi hata kuwasaidia wateja kwa ukamilifu????

Natafuta jinsi ya kujitoa kwenye kampuni hii lakini nikihamia Meridian nao website yao ipo down kila siku. Kwa kweli hapa bongo suala la kubet online bado sana. Kumamae zao!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom