Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari za mapambano ya kusaka ugali wakuu?
Jamani naomba mniambie ni kampuni gani ya kubet isiyo na magumashi katika kuweka na kutoa hela...vilevile yenye options nyingi za kubetia
Princess bet......Parimatch....

Zicheki hizo Kampuni.
 
Hata huyo itamgomea tu, Ile Step ya kuwatumia Kitambulisho haiepukiki.

Akitoa kuanzia Buku 20 ataleta mrejesho hapa.

Ila hamna wasi kama mtu unakitambulisho chochote, kibaya uwe huna kitambulisho[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alafu ukawa na shida ya haraka ya hela...hahhahah...utatamani ulie[emoji23]

Ila baada ya kitambulisho, mambo yanakuwa pouwa tu.
Kama ni kitambulisho chochote, kidogo ahueni ila wakitaka National Id mtihani
 
JILIPUE (STAKE WIFE)

BRAGA WIN
CSK M WIN
ZWOLLE OV2.5
HACKEN WIN OR DRW
BODO OV 1.5
 
Tukutane baadaye
Screenshot_20190811-164139~2.jpeg
 
.

*BN* Z5C2WMX8

Horsens - Midtjylland
2
1.77

FC BATE Borisov - FC Bgu Minsk
1 or Ov(2.5)
1.10

Odd
2.00
 
Back
Top Bottom