Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

So far Parimatch wana option nying na ni favourable kwa sisi wacheza kamari
Du hawa premier kumbe ni mikwundwu kiasi hiki? Na pia wamewaajiri majitu maboya ambayo hayawezi hata kuwasaidia wateja kwa ukamilifu????

Natafuta jinsi ya kujitoa kwenye kampuni hii lakini nikihamia Meridian nao website yao ipo down kila siku. Kwa kweli hapa bongo suala la kubet online bado sana. Kumamae zao!!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: mij
Unakielewa kilichotokea hapa???
Screenshot_20190811-145855~2.jpeg
 
[11/08, 15:23] Godlisten: ══════════════════════════════
═════
► Date : 11 / 08 / 2019
► Time: 17:00 pm
► League :: belarus🇧🇾😛ersiya Lida 1
►Match ::vitebsk - gorodeya
► Tip : [ 0 - 0 ] ○ HT cs
► Odd : 2.40
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●►●►●►
[11/08, 15:23] Godlisten: ══════════════════════════════
═════
► Date : 11 / 08 / 2019
► Time: 19:00 pm
► League ::Russia🇷🇺😛remier
►Match::cska-moscow - fc sochi
► Tip : [ 1 & 1.5 ] ○ over
► Odd : 2.10
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●►
 
Jamani treni hilo linapita nimeshindwa kwa kweli kuchambua za uhakika so mwenye bahati yake ajaribu kutembea hata na hizo Tatu Tatu tu anaweza kuambulia chochote.
Screenshot_20190811-145736.jpeg
Screenshot_20190811-145723.jpeg
Screenshot_20190811-145710.jpeg
Screenshot_20190811-145656.jpeg
Screenshot_20190811-145641.jpeg
Screenshot_20190811-145624.jpeg
Screenshot_20190811-145609.jpeg
Screenshot_20190811-145555.jpeg
Screenshot_20190811-145541.jpeg
 
► Date : 11 / 08 / 2019
► Time: 18:00 pm
► League :: Portugal🇵🇹😛rimera
►Match ::Boavista - Aves
► Tip : [ 0 - 0 ] ○ HT cs
► Odd : 3.10
► Safe %100
══════════════════════════════
════
 
WALE WA SINGLE MAXB ELSE PICK
2-3 TENGENEZA THREE TKTS

PLZEN WIN(1.50)
ALIANZA FC WIN(1.53)
PALMEIRA WIN (1.60)
HERTHA WIN (1.45)
FEIRENSE WIN (1.60)

VARDAR WIN (1.50)
REAL KARTAGEBA WIN(1.60)
CSKA MOSCOW WIN(1.60)

BRAGA WIN(1.50)
 
🏆🏆🏆
Z5C376BB
Manchester Utd - Chelsea
1X 1.28

Newcastle Utd - Arsenal
X2 1.30

CSKA Moscow - PFC Sochi
1 or Ov 2.5 1.23
ODD:2.05
Stake: ₦ 50000
©🥇🥇🥇
 
Nilitoa 20 tu ikagoma
Hata huyo itamgomea tu, Ile Step ya kuwatumia Kitambulisho haiepukiki.

Akitoa kuanzia Buku 20 ataleta mrejesho hapa.

Ila hamna wasi kama mtu unakitambulisho chochote, kibaya uwe huna kitambulisho[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alafu ukawa na shida ya haraka ya hela...hahhahah...utatamani ulie[emoji23]

Ila baada ya kitambulisho, mambo yanakuwa pouwa tu.
 
Kwa urahisi ni baada ya kufungua account nenda kwenye security jaza ile form na uapload kitambulisho chako basi unakuwa umemaliza, yaan hiyo fanya hata kabla hujatupia mkeka wa kwanza au hata kabla hujadeposit kamilisha kabisa. Tatizo wengi wanakuwa hawajakamilisha usajili sasa ukitaka kutoa pesa mara ya kwanza ndio wanaanza kukudai hizo data
Point to note: hata unaweza kutoa hela chini ya Buku 20 hata ikiwa mara ya kwanza...na hata ukiwa hujatuma kitambulisho...huwa inakubali tu.

Ila Ukitaka kutoa kuanzia Buku 20 utatakiwa uApload kitambulisho.

Lakini pia kuna Step nyingine ya kutuma kitambulisho kwenye namba yao ya Whatsapp.

KuAppload kitambulisho pale kwenye Security ni hatua, ila kuna hatua nyingine pia ya kuwatumia kitambulisho Whatsapp.

Mimi niliwauliza, wakasema ""Zile ni idara tofauti""

Lakini ukishafanya vyote hivyo mambo yanakuwa simple sana.

Customer Care wanapokea muda wote...na ni simu ya bure.
 
Back
Top Bottom