Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah! Mi napenda sana ninyeyekewe na hiz kampuni za kubet, yan ile kubembelezwa bembelezwa, mfn kama hivyo...sasa nifungue akaunti huko nibet hata kama wanakata kodi!


Sijui meridian watakuja tengamaa lini kweny network mana wananifanya natoka napokaa niende ofis zao town ilihali ningetumia tu simu!
Karibu mkuu hata Emails wana reply fasta
 
HEBEI na SHANDONG nimewaagiza goli 2 washirikiane kuzipata ila naona nimevaa bomu.
Wenzao wa Thailand wametoa mapema kweli
Goal feast leagues ni Australia.
Ligi zenye goli chache ambazo sizitaki kabisa ni France national league na yale mabrazil u20 sijui paulista ligi
.
Goli likifungwa FH bhaaaasi hata kama ilikuwa dk ya kwanza litadumu hilohilo
 
AISEEEEE...
Screenshot_20190810-161647~2.jpeg
 
Back
Top Bottom