Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaa, nimewacheki pigabet hawa jamaa wako njema sana. Kilicho nifurahisha ni kuwepo kwa michezo yangu pendwa kama vile Handball, Australia Rules, Rugby, Baseball, American football, Snooker, Dart n.k yote iko ndani.
 
Sema website yao sijaikubali nilikua najaribu kuweka live basket karibia mechi zote zikaniambia this event not available
 
Most bet akirekebisha upande wa mobile money yuko vizuri sana hususanu live bet pia ana option kibaoo.
 
Oya wakuu naomba mniangalizie hii mechi ya rugby kwenye livescore fiji v Samoa matokeo ya 1st half ilichezwa mida ya asubuhi
 
Kuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebet
.
Kwenye ku_withdraw sasa wakichelewesha hata dk 10 tu wananirukia hewani na kuomba radhi, customer care yao ni the best huwezi piga simu isipokelewe, juzi kati hapa nilipiga bahati mbaya nikakata mwenyewe nikarukiwa hewani hahaha nimewapenda
Utaniacha nije huko
 
Back
Top Bottom