Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nawaelewa sana mkuu hawa wamenivutia na customer care yao yani wakikosea jambo ukawarukia hewani ni mpaka uridhike la sivyo kamdada kataendelea kubembeleza tu
Yaani kwa maelez yako tu chap nimejisajili piga bet fasta tu kudeposite kwa tunaopenda live basketball daa ligi hadi za mchangani aisee hii kweli the best
 
Vipi kuhusu michezo. Je, kuna michezo kama Dart, Snooker, Australia Rules, Rugby n.k
Kuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebet
.
Kwenye ku_withdraw sasa wakichelewesha hata dk 10 tu wananirukia hewani na kuomba radhi, customer care yao ni the best huwezi piga simu isipokelewe, juzi kati hapa nilipiga bahati mbaya nikakata mwenyewe nikarukiwa hewani hahaha nimewapenda
 
Tukutane dirishani
Screenshot_20190810-132628~2.jpeg
 
Kuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebet
.
Kwenye ku_withdraw sasa wakichelewesha hata dk 10 tu wananirukia hewani na kuomba radhi, customer care yao ni the best huwezi piga simu isipokelewe, juzi kati hapa nilipiga bahati mbaya nikakata mwenyewe nikarukiwa hewani hahaha nimewapenda
Dah! Mi napenda sana ninyeyekewe na hiz kampuni za kubet, yan ile kubembelezwa bembelezwa, mfn kama hivyo...sasa nifungue akaunti huko nibet hata kama wanakata kodi!


Sijui meridian watakuja tengamaa lini kweny network mana wananifanya natoka napokaa niende ofis zao town ilihali ningetumia tu simu!
 
Tuna jaribu tuna jaribu

Oostende -Club Brugge KV (2.5 OVER)

Nice -Amiens (Under 2.5 goal)

Watford win
 
Ah ah ah..wameni impress mkuu.
Shukrani kwa ushuhuda.
Customer satisfaction kampuni nyngi wanachukulia poa,hawajui inawasaidia kujitangaza automatic km hv kwako,na mm nktumia m2 akaniuliza ntatoa reviews positive,ina encourage watu wengi waamie kwao,sio km kampuni zngne tatizo lipo miaka nenda rudi wanakausha tu.
Kampuni ganii HII na kama n kamdada amwezi nirushia INBOX namba zake ajaribu HATA 5odds aenjoy
 
Back
Top Bottom