Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bloody Betting ... una avoid direct win na kuomba magoli mawili, unakuwa umekwepa majivu umekanyanya moto.
 
Kama kuna MTU anayo PDF inayoelezea maana ya option anipatie maana kuna option nyingine niko vumbi.
N.B Tanzania ni nchi masikini inabidi tushirikiane ili tupate chochote.
 
Tangu nilipopata faida ya laki na nusu, niliweka mikeka minne... katika hiyo minne, mitatu yote imekufa na ukatiki huu mmoja tu lakini bado nimerudisha pesa yangu yote na kupata faida vilevile! ... hii ndo raha ya meli, katika mikeka 10 ikitiki miwili tu, kitu ambacho ni aghalabu sana, sina hasara kabisa... katika mitano, mmoja tu ama miwili kwangu bado sherehe...

Cha muhimu usiweke stake kubwa maana mechi ni nyingi hivyo ni risk, weka 10k tu. Na iwe uniform kwa mikeka yote...

ni kheri hivi kuliko niwe napambana na odds 1 na 2 ambapo nikiliwa mingi kuliko ninayoila (kitu ambacho ni common), nikila michache kidogo ya niliyoila, au nikila sawa na niliyoliwa bado nakuwa sijafanya jambo!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…