Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WATU WENGINE WAPO KWENYE MZUNGUKO HUU....

1. Tuhamie 1xbet kule tutapiga pesa.

"Tukahamia"

2. Dah sema mwanangu mechi ndogo, tungoje ligi ianze mambo yatakaa fresh.

"Ligi imeanza"

3. Dah sema hawa majamaa wamezingua kweli leo, sema nn weekend ndo kuna games nyingi.

"Weekend inafika"

4. Daah, sema Kanji mchawi sana asee..! Sema mwanangu ligi bado hazijachanganya, tungojengoje
 

Hahaha ... full excuses !
 
Hahahaha [emoji23] Aisee...tunangoja wababe wanaotabirika.
 
"Ligi zikifika mwishoni"

6. Sema mwanangu sasa hivi kila timu inakaza isishuke. Tuache ligi ipite. [emoji23] [emoji23]
 
Nipo background naangalia upepo, jinsi timu zinavyptukanwa! Anyway: bora kutukana timu cybercrime haitokupata kirahisi tofauti na kuisemea vibaya sirikali.
Nakusanya mtaji, nikifanikisha naanza na strategy inayonibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…