Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni mwendo wa kumnyoosha kanji mpaka achakae
#
ball possession [emoji736][emoji736][emoji736]
IMG_2722.JPG
IMG_2719.JPG
 
WAKUU NAOMBENI MSAADA
NATAKA KUJIUNGA NA 1XBET
SIJAJUA JINSI YA KUWEKA NA KUTOA PESA
NNA VISA CARD ZA EQUITY NA BANCABC

Msaada
 
WAKUU NAOMBENI MSAADA
NATAKA KUJIUNGA NA 1XBET
SIJAJUA JINSI YA KUWEKA NA KUTOA PESA
NNA VISA CARD ZA EQUITY NA BANCABC

Msaada
sijawahi fanya malipo kwa hizi CARDS ila fanya full registration kwanza kupitia 1xbet.com au pakua app yao.

Kudeposit.
Juu kushoto kwako kuna mistari mitatu, unaibonyeza hiyo mistari kisha itakupeleka kwenye ukurusa mwingine au unafanya kuswipe kuto kushoto kwenda kulia (kama vile ukitaka kusoma notification unavyopangusa juu kuja chini sasa hii ni left to right), utakuta mahali salio linasoma kwakua haukaweka hela litasoma 0.00 mbele kuna alama ya jumlisha unabonyeza hapo, itakupeleka namna ya kudeposit utapata mahali pameandikwa Visacard klick hapo kisha endelea.

Ukikwama urudi.
 
Back
Top Bottom