Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1XBET System yao imeleta shida kidogo safaricom kutoka jana inakuu rejected au ni kwangu tu? Ingawa pesa imetumwa from safrcm kuwafikia 1xbet ila wao kuileta kwenye a/c kuna mushkel
 
Hayaaa hayaa

Meli ndo iyooo inaelekea visiwani ushelisheli.

Tukutane baadaeee.
IMG_20190812_104323.jpeg
 
Mbona jana nimedeposit iko poa tu, unatakiwa ujaze email na namba ya simu. Kumbuka taratibu za kuweka hela zilishabadilika
yeahh ni kweli.
ila kwangu imeleta mushkeli kidgo ngoja nilete kaushahidi hapa.

mara ya kwanza niliwa text kwa E-mail [email protected] wakaniambia soon itaingia. Nikakaa kama masaa mawili bado tu haijaingia nikawajuza, wakasema hawajui tatizo litachukua muda gani kutatuliwa.
 
Kwa Wale Wapenzi wa 1xbet,Kuanzia Ijumaa Ile MENU Ya MPESA Tz Inarudi Rasmi maana Najua Wengi Wengu Humu mmepata Tabu sana Kutuma Hela ktk A/c Ya 1xbet....ni Official Ijumaa, Napia Zinafunguliwa Shops zao za Kutoa Na Kuweka Hela Kwa kiwango chochote kile Unachotaka......1xbet Ndani Ya Tz Inawezekana.....Kaaeni Mkao wa Kupiga Hela za Kanji kwa kwenda Mbele.
1XBET imefunguliwa?
 
Back
Top Bottom