Boss kampuni gani hii?
Parimatch ya Ukraine
Boss kampuni gani hii?
Naomba kujua nini kima cha chini cha kuweka na kutoa kwa Visa card Parimatch ya Ukraine?
unatoa kidodokidogo, ya nn uhangaikeWadau,hivi hawa Bitcoin hawazingui kweli kwenye kutoa hela...maana nataka niweke mpunga mrefu kwenye account yangu ya 1xbet sasa ninahofu huenda nikiwapiga parefu pesa zangu zinaweza kugoma kutoka..si unajua hawa 1xbet ukiwapiga mkwanja mrefu huwa ni shughuli kuitoa
Thanks! Vp juu ya customer service? Nataka nijilipue huko majuu.Deposit minimum 10 usd
Withdraw minimum 30 usd
Ila hawazingui kwenye kutoa siyo?unatoa kidodokidogo, ya nn uhangaike
Safaricom boss
ndio ndioila njia ya malipo ni kutumia email na phone no
Mzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.Wadau,hivi hawa Bitcoin hawazingui kweli kwenye kutoa hela...maana nataka niweke mpunga mrefu kwenye account yangu ya 1xbet sasa ninahofu huenda nikiwapiga parefu pesa zangu zinaweza kugoma kutoka..si unajua hawa 1xbet ukiwapiga mkwanja mrefu huwa ni shughuli kuitoa
Nakushauri nenda ABC BANK UPATE CARDMzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.
Mkuu, huwa inatokea. Siku zote, asikudanganye mkamaria yoyote yule, loss ni nyingi kuliko won, hvyo cha kufanya ili uwe unaona pesa inabidi hizo won ambazo ni chache ziweze kuziba loss na pia zijaze faida juu yake! ... mimi ni kawaida kulose hata mikeka minne katika mitano, ila mmoja nnaoshinda unarudisha pesa ya mikeka yote minne na faida juu yake.Kwa kipigo nilichopata Jana. Sitamani kubet na nmekata tamaa. 2 odds zimekula mtaji wote.
Najipanga nine na mbinu LA tren LA SteveMollel labbda itasaidi ingawa mahesabu hata goli moja kwa dk 90 zimegoma. Shikamoo betting.
Asante mkuu...ila mim nilikuwa nataka kujua tu Kama kwenye malipo wapo vizuri ili nisije nikangia kichwa kichwa baadae nikaja kujutaMzee baba betting in zaidi ya business planning kwenye utekelezaji. Bado hujaweka hela ushawaza kuwapiga mpunga mrefu na washakugomea kutoa. Pitia post kwanza upate uzoefu wa betting. Matarajio ni tofafauti na kabisa mafanikinio. BE AWARE.
Betting bana... huwa najiuliza kuna watu wanapost won akiwa ameweka stake milioni ama laki mbili kwenda juu, tena kaiwekea kwa mechi mbili ama moja tena yenye odds 1.5, akishinda anashinda laki mbili, tatu au tano, akiliwa analiwa milioni ama laki zote alizoweka! Sasa mtu huyu masikini akishinda mikeka mitatu, akaliwa mmoja, hamna anachofanya ... anaruka makida tu.
Usione mtu kapost hapa kashinda milioni kwa laki mbili ama tatu, huko nyuma tayari ashalipia milioni mbili kwa Kanji... [emoji23] [emoji23] ni kwamba wamegawana hasara
Mwingine unakuta kashinda labda laki moja afu anashangilia mpaka mishipa ya uso inatuna anakwambia amemkalisha mhindi😀😀😀 chaajabu ukicheki kwenye bet history kuna lost zaidi ya laki tanoBetting bana... huwa najiuliza kuna watu wanapost won akiwa ameweka stake milioni ama laki mbili kwenda juu, tena kaiwekea kwa mechi mbili ama moja tena yenye odds 1.5, akishinda anashinda laki mbili, tatu au tano, akiliwa analiwa milioni ama laki zote alizoweka! Sasa mtu huyu masikini akishinda mikeka mitatu, akaliwa mmoja, hamna anachofanya ... anaruka makida tu.
Usione mtu kapost hapa kashinda milioni kwa laki mbili ama tatu, huko nyuma tayari ashalipia milioni mbili kwa Kanji... [emoji23] [emoji23] ni kwamba wamegawana hasara
Thanks! Vp juu ya customer service? Nataka nijilipue huko majuu.
Good morning...
#GGMU[emoji175]View attachment 1179223
Ndio maana inashauriwa kutulia kwa muda na kufanya reflectionWakuu muwe mnapata muda wa kujitathmini na sio kukimbizia pesa tu kwa mhindi. Huwezi fanya tathmini kwa mkeka mmoja, miwili au matano.... tazama katika mikeka mitano mpaka kumi, umewekeza shingapi na umepata shingapi... mambo ya kupiga mshindo wa laki 2 alafu mikeka mitano mfululizo unatangwa laki mbili mbili ni UJUHA.
Kama huingizi pesa, tazama unaangukia wapi? Shida nini? Na asikwambie mtu, betting ni MKAKATI na CONSISTENCY, si tu kumwagia mapesa bure. Una mkakati gani, au wacheza tu kama NYUMBU?