Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma sana...
 
Wadau,hivi hawa Bitcoin hawazingui kweli kwenye kutoa hela...maana nataka niweke mpunga mrefu kwenye account yangu ya 1xbet sasa ninahofu huenda nikiwapiga parefu pesa zangu zinaweza kugoma kutoka..si unajua hawa 1xbet ukiwapiga mkwanja mrefu huwa ni shughuli kuitoa
Jamaa unanifurahisha sana yaani unauliza swali na kujijibu, hizo ni dalili za uoga afu huo mkwanja mrefu unaeza kuta unaongela 30k
 
ndio ndio
wanatuma notification kwa safaricom wao safaricom wanakuwekea sehemu ya pin ili ukubali kiasi ulichotaka kitumwe wakikate na kuwatumia jamaa.
ok bro nimechat nao wanasema kudeposit kwa mpesa inasumbua tena ila ipo kutoa tu kwa mpesa
 
Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Wapigie bure 0800 78 7878
 
Leo ni leo
Screenshot_20190812-182918~2.jpeg
 
Ushauri wa bure
Kama una ndoto siku moja utakuja kupiga hela ndefu kwenye betting basi ni vizuri ukaachana na makampuni ya betting yasio sajiliwa Tz

Kampuni za kibongo zinaweza zikawa hazina options nzuri but ndio njia salama zaidi kupata mkwanja wako uki piga parefu

Jamaa yangu kashinda point kibao kwenye 1xtoto jacpot
Acc imepigwa block anatakiwa kutuma id, bank statement na mataka taka ya kijinga kijaza
Eti acc iko under verification process
 
Mi nawashangaa watu wanababaika na 1x bet daily ooh mara bitcoin mara card wanekataa, ooh safaricom halafu akifika kule anapiga parefu anashindwa kuitoa anarudi kulia lia tena hapahapa
 
Back
Top Bottom