Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WOOOOOON Tukutane kwa wakala.
Screenshot_20190812-210325~2.jpeg
 
Ushauri wa bure
Kama una ndoto siku moja utakuja kupiga hela ndefu kwenye betting basi ni vizuri ukaachana na makampuni ya betting yasio sajiliwa Tz

Kampuni za kibongo zinaweza zikawa hazina options nzuri but ndio njia salama zaidi kupata mkwanja wako uki piga parefu

Jamaa yangu kashinda point kibao kwenye 1xtoto jacpot
Acc imepigwa block anatakiwa kutuma id, bank statement na mataka taka ya kijinga kijaza
Eti acc iko under verification process
Kweli kabisa mkuu. Hayo ma 1xbet huko ukiwapiga pesa ndefu ni wagumu kutoa pesa asee. Utaambiwa uende ofisini na ww ndo kwanza upo Kwa Ndambi ati uende Russia. Kampuni ya bongo ikizingua unaweza enda shtaki ama fika ofisini kabisa!
 
Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya
Daah hii kesi ya kona ni noma sana. Mi mwenyew niliweka under 5.5 kona FT sportspesa. Na gemu ilitoa ilA mpka leo mkeka upo active hawajawahi nipa pesa yanfu....Ukiwapigia wanakwambia wanalishughulikia. Mpka nmewaachaga mm wapumbavu wale
 
Wafate pale peninsula msasani

Back
Top Bottom