Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashauri cheza over 1.5 ... leo inaonekana zipo nyingi sana.

Cc mtzmweusi
Ukipita humu kwa over 1.5, huwezi kosa odds 4 Chief. Chagua timu mbili toka kwny kila competion hapo.

- Champions League,
- Champions League Women,
- Scotland Challenge Cup,
- Northern Ireland Premiership,
- England EFL Cup
 
Nashauri cheza over 1.5 ... leo inaonekana zipo nyingi sana.

Cc mtzmweusi
Ukipita humu kwa over 1.5, huwezi kosa odds 4 Chief. Chagua timu mbili toka kwny kila competion hapo.

- Champions League,
- Champions League Women,
- Scotland Challenge Cup,
- Northern Ireland Premiership,
- England EFL Cup
 
Kazi kwenu, Pia usisahau kuunda clusters za odd mbili mbili. Tukutane baadaye.
Screenshot_20190813-135451~2.jpeg
Screenshot_20190813-135519~2.jpeg
 
Wadau mwenye namba za customer care Premier Bet tafadhari,au pia kama umewahi ku_withdraw ukaambiwa blocked user ulifanyaje ukaipata pesa yako uliyoshinda kwenye akaunti? Natanguliza shukrani za dhati...
Hatimae nimefanikisha ku_withdraw hela yangu tokea jumamosi baada ya pulukushani kadhaa na customer care,ahsanteni wote mlioniongezea points,mbarikiwe sana..
 
Wadau wa betpawa mmenote kuwa BONUS imefanyiwa marekebisho, kuanzia game 3 kuna bonus halaf bonus imepunguzwa mwanzo game 10 ilikuwa 50% sasa ni 35% yaan mwishowe wataitoa kabisa
Screenshot_20190813-142912_Chrome.jpeg
 
Hivi wakuu parimatch imekuwaje jana nilibet mech ya Dc united v LA galaxy kona over 4.5 1st half zikatoka kona tano nimewin ila wanasema mkeka umechanika na nilibet single.. nimewasiliana nao kwa njia ya email txt ya kwanza wamekubali kwamba kona zmetoka over 4.5 nikiwauliza vp kuhusu payment yangu wamebadilisha maneno wanasema zimetoka under alaf kona zenyewe lA galaxy ndo kazipiga mwenyewe cha kushangaza sehemu ya bet history kwang hairespond ushenz gani wameanza kuufanya

Usiwachekee hao washenzi we piga screenshot za huo mkeka nenda kashtaki kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha
 
Back
Top Bottom