Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani naomba mtu anayeweza nielekeza jinsi ya kudeposit 1XBet kwa Bitcoin...aje inbox na Niko tayari kulipia hiyo gharama ya maelekezo au Kama Kuna old Post ilitoa muongozo huo naomba kupewa link pls.
Natanguliza shukrani
 
Una sh ngapi
 
Wale wa Tennis ... Odds 2.87

1565702862699.png
 
Jamani naomba mtu anayeweza nielekeza jinsi ya kudeposit 1XBet kwa Bitcoin...aje inbox na Niko tayari kulipia hiyo gharama ya maelekezo au Kama Kuna old Post ilitoa muongozo huo naomba kupewa link pls.
Natanguliza shukrani

achana na bitcoin njoo mm nikuelekeze kuweka na kutoa kwa prepaid card ukiwithdraw hela unaipata ndani ya nusu saa tu!! 0675856398
 
"
Idadi ya wacheza kamari wanaolalamika kuhusu makampuni ya kamari ya Uingereza imepanda kwa karibu asilimia 5,000 katika kipindi cha miaka mitanoiliyopita

Kulikuwa na malalamiko 8,266 mwaka jana, rekodi iliyokusanywa na tume inayohusika na michezo ya kamari, ikilinganishwa na malalamiko 169 mwaka 2013.

Malalamiko mengi yalihusu makampuni kukataa kulipa washindi au kushindwa kufanya kazi katika hali ya kuwajibika ipasavyo." - BBC Swahili.
 
Back
Top Bottom