Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Mkuu tennis una chambua au una oteaa tu
Nachambua mkuu ... kuotea tena.
Mkuu tennis una chambua au una oteaa tu
Huyu itakuwa ni Mgeni kwenye Tasnia! Vipi tumwambie au tumuache akashuhudie mwenyewe?
Asante mkuusijawahi fanya malipo kwa hizi CARDS ila fanya full registration kwanza kupitia 1xbet.com au pakua app yao.
Kudeposit.
Juu kushoto kwako kuna mistari mitatu, unaibonyeza hiyo mistari kisha itakupeleka kwenye ukurusa mwingine au unafanya kuswipe kuto kushoto kwenda kulia (kama vile ukitaka kusoma notification unavyopangusa juu kuja chini sasa hii ni left to right), utakuta mahali salio linasoma kwakua haukaweka hela litasoma 0.00 mbele kuna alama ya jumlisha unabonyeza hapo, itakupeleka namna ya kudeposit utapata mahali pameandikwa Visacard klick hapo kisha endelea.
Ukikwama urudi.
Wakuu jinsi mnijulishe jinsi ya kuwasiliana na parimatch
Mkuuu mbona ikiwa win huwa ina default Green colour. . Haina haja ya kuweka tick mkeka for online mkeka
Mkuuu mbona ikiwa win huwa ina default Green colour. . Haina haja ya kuweka tick mkeka for online mkeka
yeah..manake ni kua hata kama group zima la wazee wa kubet tukila kila siku,bado faida kwenye makampuni zipo..na hii tuwashukuru wote wanaotandaza mikeka mirefu kwa buku na buku mbili zao,,hawa ndo wengi na ndo wanachangia high stakers,,,ndo maanaa premier bet na meridian bet server na huduma zao online zinasumbua sana,,wanafanya makusudi ili faida isipotelee kwa single bet stakers ambao wengi wao wanabetia online tu..The House Always Win
Ndio mkuu niliactiveume activate acc ?
Nimerud mkuu. .. u busy kwa bepar mkuuKaka umepotea
Safaricom bossAsante mkuu
kwani we unatumia njia gani ya malipo
Tuko pamoja kakaNimerud mkuu. .. u busy kwa bepar mkuu
Nimerud mkuu. .. u busy kwa bepar mkuu
Mkuu unatumia prepaid card? Kama ni prepaid ya nenki gani? Hawa jamaa wa Ukraine nawatamani kweli aisee
WAKUU NAOMBENI MSAADA
NATAKA KUJIUNGA NA 1XBET
SIJAJUA JINSI YA KUWEKA NA KUTOA PESA
NNA VISA CARD ZA EQUITY NA BANCABC
Msaada