Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii mechi ya Liver inanukia HT goal
Aiseeee.....
Screenshot_20190814-224418~2.jpeg
 
BOOOOOOOOOOOM
═════
► Date : 14 / 08 / 2019
► Time: 20:00 pm
► League ::norway🇳🇴:league 1
►Match ::Kristiansund BK
FK Bodo/Glimt
► Tip : [ 2 & 1.5 ] ○FT & over
► Odd : 2.70
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●►●►●
 
Nawasalimu tu wadau wenzangu, sijapita hapa siku nyingi, natumai mapambano yanaendelea.

Ref
Kazi yoyote ili ufanikiwe lazima uwe na nidhamu, hivyo tuwe na nidhamu. Tuache ule mchezo wa kuweka makokoro ambayo mwisho yanatupeleka kwenye kipigo.

Cheza game ulizozifanyia analyse tu. Odds ziwe 2-3.

Nawatakia kazi njema.
Hatujambo Mkuu! Tunaendelea vyema!
Mapambano bado yanaendelea Brother!
Shukhrani kwa kutukumbusha jambo la msingi.

Shukhrani kwa baraka zako, iwe kwako pia!
 
Booking Number:Z5BLMGTQ

📯 23:15

Event Royal Pari Sion - Always Ready
Live/Prematch Prematch Selection Over Away1.5

*3.01 odd*
 
Back
Top Bottom