niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,679
- 5,496
IndonesiaHuyo 'Surabaya' ni mtu wa wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Surabaya weza kibia na pesa angu acha kuanza some upepo enda vipi!.Indonesia
Mke kaenda tayari. [emoji3][emoji3]Weka hata mke [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1181092
Sina elimu yeyote ya bitcon mkuu, nilizoea kudeposite kwa m pesa ama mtu kunirushiaMkuu kuna wakati nilideposit kwa mybuxy wakaja wakaitoa hiyo njia
Nikaanza kuhangaika kutoa hela, nikahamisha kwenda kwa mtu mwingine wakanipiga block, ikabidi nizimalize kwakubet lost nikaanza upya na Bitcoin
Hadi leo nikihamisha inakataa, hadi nifanye withdraw
Kwanini usitumie bitcoin mkuu, sababu kama njia uliotumia mwanzo haipo hata ukihamishiwa haitatoka
Tumia bitcoin mkuu kama unaipenda 1xbet
Kama nakuona unavyoteketea
Hahahaaa mkuu em tuache bana tuna machunguWa DIRECT WIN kama kawaida. Wameliwa.
Huyo 'Surabaya' ni mtu wa wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Jamii ya Chato Burigi....Huyo 'Surabaya' ni mtu wa wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Dah hizi odds hiziPesa hiyo asilimia 99.999, Tukutane baadaye.View attachment 1181957
Vipi ndogo eeh?Dah hizi odds hizi
Pesa nimebeba usiku.. Kateketea yeye.Kama nakuona unavyoteketea
bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5Dah hizi odds hizi
Hapana inategemea stake ingawa ukipasua minne ukapigwa mmoja inakua changamoto zaidiVipi ndogo eeh?
Ni kuweka ushindi timu moja halafu tukutane baadaye Kwenye hesabu [emoji23][emoji23][emoji23]bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5
kampuni gani nzuri? premier wanasumbua mtandaoAchana na hiyo kampuni bhana.
Ok wanayo.
Hiyo timu moja yenye ushindi iko wapi?bora uweke ushindi timu moja tu kuliko mitimu yote ina odd 1,5