Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
AISEEEE...
Hongera mkuu bet won
Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo [emoji23][emoji23][emoji23]Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?Hiyo timu moja yenye ushindi iko wapi?
Sina elimu yeyote ya bitcon mkuu, nilizoea kudeposite kwa m pesa ama mtu kunirushia
The Good ishu hata kama upo mbet ila unatusua mbona fresh tu,.kampuni gani nzuri? premier wanasumbua mtandao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nami nimekaa kitako nipate kupewa hiyo timu yenye ushindi...Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo [emoji23][emoji23][emoji23]Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Bet direct win ikiwa una nyota nayo ila kwa mimi walau GOALS atleast haina presha na asilimia za kula ni kubwa.Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo [emoji23][emoji23][emoji23]Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Aisee Hilo goma nimelichelewaHongera mkuu bet won
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana draw [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nami nimekaa kitako nipate kupewa hiyo timu yenye ushindi...
Siyo kazi ndogo kupata odds 1.5 kwenye betting.
Hongera mkuu bet won
Aisee hii treni tuliikosa pesa tupu du
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana draw [emoji28][emoji28][emoji28]
wacha aanze kuweka BE4 KICK OFF [emoji38][emoji38] vilio tupu.
Gary Neville alikua akimkosoa Mourinho sana",. ila alikua akikosoa output, Mungu mkubwa Gary akapata timu (Valencia) game ya kwanza kala 7.. Game 10 jamaa katimuliwa..
Mou akasema ndio ajue tofauti ya kufundisha na kuchambua",.. Siku hizi kimya...
Tunashukuru kwa vyombo tushindwe wenyewe tuPlay the tkt n thx ltrView attachment 1182048