Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata kama Feyenoord atatoa over 1.5 ni mpuuzi sana siku hizi.

Ni moja ya timu ya kijinga sana.
 
Hata sio bahati mbaya mkuu sababu ni mm niliwapa evergrande kushinda. amini nakwambia mm nikiweka bet lazima niliwe hata barca akicheza na real betis nikimpa barca kushinda tu ujue siku hiyo anafungwa, nna gundu laana.
Mkuu umenichekesha balaa itabidi utembelee nyota za wanaotupia humu
 
Hawa jamaa dizain wanasoma upepo..juzi hapa magoli kama yote! Ndio yaleyale wadau walisema wachawi hawakosekani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…