Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata sio bahati mbaya mkuu sababu ni mm niliwapa evergrande kushinda. amini nakwambia mm nikiweka bet lazima niliwe hata barca akicheza na real betis nikimpa barca kushinda tu ujue siku hiyo anafungwa, nna gundu laana.
Una gundu na hilo li DIRECT WIN lako. Na utaliwa mkuu mpaka akili ikae vizuri kichwani.
 
Tennis
Screenshot_20190815-190638.jpg
 
Back
Top Bottom