Professional Trader
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 1,220
- 1,122
Nothing good come easy! Na ukiwa na shida ushauriwi kubeti sio kwamba nakuvunja moyo, but you can give it a tryNimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
Nimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Nacheka kama mazuri.Nimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
You came to the wrong place brodaNimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Jamaa kazungumza kirahisi sana, hasa hapo aliposema dakika ya 70 ana-turbo.You came to the wrong place broda
Nakushauri hiyo 10k yako ongeza na nyingine kisha nunua tekno ya tochi ili uwe hewani
Kisha jipange kutafuta hela tena kama ulivyofanya ukanunua hiyo aifoni
Unavyoongea mzee kana kwamba hizo odds ni kugusa tu. Watu wanatambaa na 1.01 na bado wanachapwa, tena kwa mechi mbili au tatu. Sasa mzee wewe unataka mechi isiyokuwa na goli. Yani upate mechi ambayo wanaume 22 wanaingia mpaka dkk 90 hakuna goli, si mchezo! Hako ka alfu 10 kataenda tu.Nimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Nimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
Kwenye kudeposit naona sehem ya Prepaid cards lakini kwenye kuwithdraw siioni hiyo sehem ya prepaid cards hii imekaaje mkuu
Prepaid cards ni tofauti na Visa au Master CardsMkuu prepaid card sehemu inayo tumia ni pale pa visa/master card hizi prepaid card mfano ya BancAbc ina kuwa VISA na Prepaid card ya Exim bank inakua ya Master card
Nalala nao mzima mzima huu mkuu.All over 1.5 goals!! Money loading in this one
Ila wale wenye gundu msitembee na mkeka wangu huu nikakosa pesa ya kodi [emoji3][emoji3][emoji3] just joke a little...all in all this is gambling win or lose is normal thing It doesn't concern about lucky.....wish u all the bestView attachment 1187637
Aiseeeh leo kuna game zaidi ya 100Nimepigwa IPhone x nataka niitafute nyingine sasa nina buku 10 tu mfukoni isiyokua kwenye ratiba .......jamaa yangu kanishauri nitafute timu tatu tu ambazo zitaenda bila kufungana full time niweke no goal amenipigia hesabu za odd 9 9 ivyo 9*9*9= 726 odd then niweke meridian stake 5000 kaniambia weka zinazoanza muda mmoja alafu nikae pale pale meridian nizichek ad mwisho wake nikiona dk ya 70 bado niturbo sasa wazee naombeni msaada wa izo timu tatu aisee
nimeghairi siufuati huo mimi[emoji23][emoji23]Nalala nao mzima mzima huu mkuu.
Mkuu hujatupa ile mbinu yakonimeghairi siufuati huo mimi[emoji23][emoji23]