Wakuu kwa uzoefu wenu ni ligi gani hazina magoli mengi
Si wengine ni waumini wa under
Hata mimi ni muumini wa under sana mzee. Mechi za Unders nikiwa nazihitaji naambaa ligi hizi, japo kuna vitumechi huwa nakuwa na tahadhari navyo.. ligi hizi hutoa sana under 3.5
1. Ligi ya Argentina daraja C
2. Ligi ya Ufaransa League pamoja na ile National league.
3. Brazil Serie B
4. Ligi kuu ya Russia.
5. Ligi ya South Africa.
6. Ligi ya wareno kwa kuambaa na timu kama Aves, Moreirense, Setubal, Tondela.
7. Ligi ya Japan pia, kwa timu kubwa kama Kashima, Urawa ni kawaida kutoa under 3.5
8. Ligi ya South Korea.
9. Spain segunda. Huko kina La Coruna na Alcorcon na wenziwe hutoa sana unders.
10. Mechi za Kenya na Zimbabwe.
11. Egypt premier league pamoja na Algeria.
Lakini pia Spain ligi kuu huwa navitegea vitimu kama Getafe, Levante, Granada mara mojamoja wakiwa wapo nyumbani hata ugenini hutoa sana unders. Mfano tu juzi Atletico kaishia moja tu dhidi ya Getafe...