Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kwa uzoefu wenu ni ligi gani hazina magoli mengi
Si wengine ni waumini wa under
 
MSAADA TUTANI
wale watumiaji wa PARIMATCH hii kampuni huwa inachukua muda gani kumuingizia mtu pesa mechi zikiisha? Mfano betpawa wao within5 minutes inakua tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa uzoefu wenu ni ligi gani hazina magoli mengi
Si wengine ni waumini wa under
Hata mimi ni muumini wa under sana mzee. Mechi za Unders nikiwa nazihitaji naambaa ligi hizi, japo kuna vitumechi huwa nakuwa na tahadhari navyo.. ligi hizi hutoa sana under 3.5

1. Ligi ya Argentina daraja C
2. Ligi ya Ufaransa League pamoja na ile National league.
3. Brazil Serie B
4. Ligi kuu ya Russia.
5. Ligi ya South Africa.
6. Ligi ya wareno kwa kuambaa na timu kama Aves, Moreirense, Setubal, Tondela.
7. Ligi ya Japan pia, kwa timu kubwa kama Kashima, Urawa ni kawaida kutoa under 3.5
8. Ligi ya South Korea.
9. Spain segunda. Huko kina La Coruna na Alcorcon na wenziwe hutoa sana unders.
10. Mechi za Kenya na Zimbabwe.
11. Egypt premier league pamoja na Algeria.


Lakini pia Spain ligi kuu huwa navitegea vitimu kama Getafe, Levante, Granada mara mojamoja wakiwa wapo nyumbani hata ugenini hutoa sana unders. Mfano tu juzi Atletico kaishia moja tu dhidi ya Getafe...
 
Usa hapana mkuu

Nasema USA kwa sababu siyo mara zote wanatoa magoli ya uhakika. Unaweza ukakuta wiki hii wanatoa magoli over 2.5 lakini siku zinazofuata hakuna magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…