Usidharau hata 5000 kwenye betting bora kupata kuliko kukosa kabisa!!! Keep that in ur mind hizo single bet unakuta nacheza live game ina odds 1.83 unaweka 10000 unakula 18300 faida 8300 ukicheza Mara mbili unakuwa na faida ya sh. 16600 hujapata pesa ya kujidai hapo!! Huwa siachi hata kama ni pesa ndogo maana hata hizo kubwa zilianzia huku chini...
Sisemi hivi kujisifu Ila nawapa moyo kuwa inawezekana kama ukitulia wakati mwingine usisubirie mwingine aweke mkeka na ww ndo ubeti hapa tunakutana kupeana challenges na sio mikeka tu ndo maana unakuta wengine wanakuambia wakishare mikeka inalose ni kwasababu tumeshajijengea hivyo na itakuwa hivyo daima Ila sio kwamba MTU anafanya uchoyo hapana!! Cha msingi kama umeamua kubeti pambana kadri uwezavyo jaribu kutumia uwezo wako binafsi na wakati mwingine unaweza kutumia mbinu ambazo wengine tunatumia kuunda mikeka yako binafasi hapo ndo tunasema unakuwa you review different aspects/ ways in betting from others and see if you can try them if possible....
ILA KULIWA KUPO TU ILA TUNAFANYA KUPUNGUZA LOSS ZISIWEPO YAANI KANJI NA MM TUNAKULANA SAMBAMBA ILA ASIKUKULE SANA....
Kingine ukiona unaliwa sana jipe break jitathmini maana MTU unavyoliwa sana huweza kupanik sasa ili usifikie huku pumzisha akili kwanza then am sure ukija kurudi utakuwa na form nzuri ya kumpiga kanji...