Guys kwa wale wanaonza kubeti au mnaoliwa sana bila mafanikio napenda niwaambie betting ni strategies/ mbinu so unatakiwa uwe na mbinu lakini pia na malengo najua hapa wengi wetu tunabeti tu lakini hatuna malengo, ifanye betting kama seehehhemu ya ajira yako ambayo inakupatia pesa za ziada.
Usiseme kuwa mtaji wako ni mdogo kuliko Fulani big HAPANA wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha huo mtaji wako mdogo ndo level yako kwa muda huo lazima uwe na mbinu za kuweza kukuza mtaji wako...
Kamwe usitegemee kuweka 1000 ule 50000 utasubiri sana yaani hii inakuwa kama jackpot...
Halafu betting ni ubunifu angalia ww binafsi unaweza kufanya nini betting sio lazima kubeti mpira wa miguu kuna michezo mingine Jaribu kila upande hata kama michezo mingine huijui jaribu kujifunza utaona mwenyewe seehhemu gani ni sahihi kwako...
Binafsi pesa za muhindi huwa napiga sana kwenye basketball kuliko mpira coz nimeshaona mpira kwangu ni jau halafu basketball ninachopendea odds zake huwa ni kubwa yaani mechi 4 unaweza kupata odds 5+ za uhakika lakini mpira kupata odds 5+ nikimbembe yaani utabana pumbu mpaka dakika ya mwisho.
Kumbuka kuwa kiwango ulichonacho ndo size yako ya kubetia binafsi huwa nikijikunja mwisho naweka 15k tena hapo natembea na odds 3-5.
Kingine ujasiri unahitajika katika kubeti yaani hapa namaanisha taking risk to win big....jiamini na unachokifanya
Binafsi this week nilipigwa kama 50k but kuanzia Jana jioni mpaka kuamkia Leo kwa mtaji wa 15k nimeamka na 150k kwenye account yaani hakuna kulala kizembe mpaka kieleweke nakesha na basketball za usiku imradi salio lisome positive.....